Tetesi: Si shwari, rais Magufuli kutangaza mazito August 31 siku moja kabla ya UKUTA

Tetesi: Si shwari, rais Magufuli kutangaza mazito August 31 siku moja kabla ya UKUTA

Mi.i naogopa hapa kusije kukawa na mchezo wa paka na na panya ikawa jeshi na serekali wanajiandaa akafu na hawa wengine wanaahirisha wanapeleka mbele halafu tukawa kwenye tension kwa muda mrefu .na tukashi dwa kufanya kazi
Hahaaa nini hiki?
 
Habari nilizopata kutoka jikoni zinasema kuwa siku ya August 31 mwaka huu, siku moja kabla ya UKUTA rais John Pombe Magufuli anatarajiwa kutangaza mambo mazito kwa watanzania.

Inasemekana kuwa rais anatarajiwa kuliweka jeshi la polisi katika tahadhari kubwa huku kukiwa na mazuio kadhaa yatakayo ambatana na tahadhari hiyo kwa jeshi la polisi.

Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi kunatarajiwa kuwa na operesheni nzito ya jeshi la polisi na huenda kukatumika nguvu kubwa zaidi katika kukabiliana na Chadema nchi nzima.

Aidha nimedokezwa kuwa ofisi zote za Chadema nchini zinatarajiwa kuzingirwa na jeshi la polisi siku hiyo ya september moja.

#UKUTA for Democracy!
Ukuanzae mmalize, Chadema mmeanza acha Magufuli amalize
 
CCM wameutangaza ukuta kuliko wenye shughuli, kuna jamaa kajitolea kazunguka Nchi nzima kaacha shughuli zake zote muhimu mpaka familia.
 
Hili linahitaji busara zaidi mkulu si vinginevyo! Onyesha utu wako ruhusu mikutano ya kisiasa iendelee, TUTAPONA!
Siasa uchwara za maji taka kamwe hazitaruhusiwa milele. Mikutano ya siasa safi inayofuata kanuni, taratibu na sheria za nchi hazijawahi kuzuiwa. Wewe ulishaona wapi siasa za kumwita rais aliyechaguliwa na majority, hao minority walioshindwa wanamuita uchwara na kuandamana nchi nzima wakimwita hivyo. Kama si upunguani ni nini? Lazima cha mtema kuni wakionje angalao kidogo ili waone kautamu kake.

Tarehe 1 Sep wanaotaka kuonja hako kautamu kake jitokezeni tu wala haina haja ya kuja kubwabwaya huku Jf sasa hivi. Tarehe 2 tunawasubiri mje mtusimulie hako ka utamu ka mtema kuni.
 
The greatest fear is when you fear the unknown.
Akihutubia hiyo tarehe 31 basi ujue anawaogopa ye awaache tu aone kama wataandamana.
Ila pia polisi wamechoka mwezi mzima mazoezi ya kumkabili usiemjua inasikitisha sana!!!
Kweli mkuu
 
Habari nilizopata kutoka jikoni zinasema kuwa siku ya August 31 mwaka huu, siku moja kabla ya UKUTA rais John Pombe Magufuli anatarajiwa kutangaza mambo mazito kwa watanzania.

Inasemekana kuwa rais anatarajiwa kuliweka jeshi la polisi katika tahadhari kubwa huku kukiwa na mazuio kadhaa yatakayo ambatana na tahadhari hiyo kwa jeshi la polisi.

Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi kunatarajiwa kuwa na operesheni nzito ya jeshi la polisi na huenda kukatumika nguvu kubwa zaidi katika kukabiliana na Chadema nchi nzima.

Aidha nimedokezwa kuwa ofisi zote za Chadema nchini zinatarajiwa kuzingirwa na jeshi la polisi siku hiyo ya september moja.

#UKUTA for Democracy!
1471792069669.jpg
 
Kwa MTU mwenye akili yake anajua kwamba Magufuli na polisi watajitokeza kwa nguvu zote kuzuia maandamano na mikutano hiyo. Hilo linajulikana.

Lakini Chadema kama chama cha siasa kinatakiwa kuwa makini na mipango yake. Haya matamko ya wanasiasa kama ya Magufuli ni kawaida kwa kipindi cha kudai haki.
Chadema wako vizuri sana subiri utaona kitakachotokea
 
Kama ndo ivyo chadema nao wazingile office za ccm nchi nzima. Hii itawapa somo askali kuwa we need fair political grounds.
 
Habari nilizopata kutoka jikoni zinasema kuwa siku ya August 31 mwaka huu, siku moja kabla ya UKUTA rais John Pombe Magufuli anatarajiwa kutangaza mambo mazito kwa watanzania.

Inasemekana kuwa rais anatarajiwa kuliweka jeshi la polisi katika tahadhari kubwa huku kukiwa na mazuio kadhaa yatakayo ambatana na tahadhari hiyo kwa jeshi la polisi.

Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi kunatarajiwa kuwa na operesheni nzito ya jeshi la polisi na huenda kukatumika nguvu kubwa zaidi katika kukabiliana na .

#UKUTA for Democracy!
Waendelee tu kumdanganya. Lakini mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Na hata hivyo hata akiamuru majeshi yote hakuna askari wa kutosha kuzingira ofisi "zote"! Ajifunze kwa Samuel Doe, Muamar Ghadafi, Siad Bare, na wengineo. Watu hawatishwi na majeshi. Na hata humo kwenye majeshi wapo watakaojiunga na wananchi hali itakapofikia kilele. Iko hivyo duniani kote.
 
Kwa mara ya kwanza kivipi ? Kwani hukuona vifaru vya wanajeshi Mtwara ? Hukuona Jakaya alivyowapitisha kwenye karandinga za mabaka mabaka kariakoo ??

Rai yangu tu wasitumie Jeshi la wananchi wa Tanzania kupiga wananchi wake ,

Polisi si wapo wa kutosha ? Wanaogopa nini ?
 
Wajitayarishie mafuta ya kilainishi washika ukuta siku hiyo
 
Back
Top Bottom