Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Unakuta ni familia yenye uwezo, lakini watoto wao wa kiume hawana uwezo wa kupata watoto. Katika maendeleo ya mwanadamu, kilichosabisha ustaarabu wa kuoana na kuanzisha familia ilikua ni utaratibu wa kurithi mali. Binadamu alipoanza kumiliki ardhi, kulima nafaka na kumiliki wanyama wa kufugwa alitaka uzao wake urithi mali zile
Binadamu anapokosa mrithi anakuwa na simanzi. Mali uliyoipigania maisha yako yote ungependa warithi wajukuu wako.
Sikuhizi mjini imeingia style mpya, binti anapokua mjamzito, akishamwambia aunt, ambae anaweza kuwa ni rafiki wa mama. Anaambiwa usimwambie mtu mwingine tena, kuna mwanaume atakuoa . Mabinti wanavyopenda harusi, ananyamaza na kweli anatambukishwa kwa muoaji na harusi kubwa inafanywa. Binti akifikiri huyu mwanaume aliyenistiri aibu yangu ni wa kumuheshimu kumbe yuko katika win win situation.