Ahsante sana kwa ushauri wako na nikuahidi kwamba naufanyia kazi ushauri wako. Ubarikiwe sanaSijaelewa na nahisi siwezi kuelewa......
Hivi ni wanaume ndio wanakuwaga na tatizo la nguvu za kiume na kushindwa kuwatosheleza wake zao?
Ombi kwetu mabaharia.... Ukiona mchumba wako,mkeo anakuambia huna lolote na hujafanya lolote jua huyo siyo size yako tokea na umuache utakuja kunishukuru
Yes, tunakaa nayo mtaa mmoja, nyumba zinatazamanaLow sperm count? Unaijua vizuri
Tupe suluhisho kaka mkubwa Mshana.Low sperms count..Ni tatizo linalokuwa kwa kasi sana
Hahahhaa mtu keshapigwa teari😀😀Mimba nyingi tunazokimbizwa kuchangia harusi huwa ni mtu kauziwa mbuzi kwenye gunia.
Rafiki yangu mmoja mtoto wake pekee wa kiume ana tatizo hili. Ameoa mwaka wa tatu huu mke hajakamata ujauzito, baada ya kutembelea hospitali kadhaa imefahamika tatizo ni la mwanaume.Usisahau pia kuna jitihada za makusudi za mabeberu ku control population ya dunia. Sisi tukiwa kama wapokeaji wa kila aina ya madawa, bidhaa za vyakula, vinywaji nk kutoka nje, hatuwezi kujua ni kwa kiasi gani vitu hivi vinaweza kua vimefanyiwa editing ili visaidie ku control population in the long run. Sisi tunachekelea tu kugonga hennesy na jack daniel , kwa wenye pharmas wanakuambia dawa inayoongoza kuuza ni p2, hatujui madhara ya mbeleni.....
Linasababishwa na nini?Low sperms count..Ni tatizo linalokuwa kwa kasi sana