Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kulikaribia kwa mauaji, basiHata Wakimsema Vyovyote Vile
Lakini Magufuli Atabaki Magufuli na Sioni Wakumkaribia Hata 20%
Sio kunangwa,watu wanafunguka Ili kuponya mioyo yao.Huo ndiwo ukweli.
Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.
Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!
Alimuua nani?Kulikaribia kwa mauaji, basi
Usinisemee babu!!Wananchi hawapendezwi na hili jambo kabisa.
Wanaona kiongozi wao yuko mbali nao.
Anawakumbatia wafanyabiashara na matajiri.
Hasikii vilio vyao. Inasikitisha mno .
Kumfikia kwa mabaya au mazuri aliyofanya?toa ufafanuzi kidogoHata Wakimsema Vyovyote Vile
Lakini Magufuli Atabaki Magufuli na Sioni Wakumkaribia Hata 20%
Ukiwa na akili huwezi kuandika hivyo..Wananchi hawapendezwi na hili jambo kabisa.
Wanaona kiongozi wao yuko mbali nao.
Anawakumbatia wafanyabiashara na matajiri.
Hasikii vilio vyao. Inasikitisha mno .
Wananchi hawapendezwi na hili jambo kabisa.
Wanaona kiongozi wao yuko mbali nao.
Anawakumbatia wafanyabiashara na matajiri.
Hasikii vilio vyao. Inasikitisha mno .