Si wote ndani ya Serikali wanafurahia kunangwa Hayati

Si wote ndani ya Serikali wanafurahia kunangwa Hayati

Lakini usisahau wapo pia wengi tu wanaofurahia. Hiyo ndio siasa ya Tz kwahiyo wawe Wapole tu. Ni kama vile ambavyo walikuwepo wengi ambao walikuwa hawapendi jinsi Magufuli alivyokuwa anawananga watangulizi wake.

Safi kumbe unakumbuka alivyo wananga watangulizi wake eeeehhh.jino kwa jino.
 
Huo ndiwo ukweli.

Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.

Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!
Wanazaidi ya mwaka Sasa. Na hawajafaulu..

Watachoka tu. Ila 2025 stake fuata nyendo za Magufuli ndio mshindi wa uchaguzi.
 
Wanaomnanga JPM wanajisumbua tu. Katika hali ya kawaida, ukiacha Majaliwa, nani yupo serikalini sasa anaweza kulinganishwa na JPM?
Kichwa kimoja cha JPM ni sawa na vichwa kama vyote vilivyopo sasa ukimwondoa Majaliwa.
 
Wananchi hawapendezwi na hili jambo kabisa.

Wanaona kiongozi wao yuko mbali nao.

Anawakumbatia wafanyabiashara na matajiri.

Hasikii vilio vyao. Inasikitisha mno .
Sema baadhi ya wananchi. Na pia Mbona hata yeye Magufuli alikua anawasema vibaya viongozi wastaafu?!
 
Wananchi hawapendezwi na hili jambo kabisa.

Wanaona kiongozi wao yuko mbali nao.

Anawakumbatia wafanyabiashara na matajiri.

Hasikii vilio vyao. Inasikitisha mno .
Kumbe wafanyabiashara na matajiri wao si wananchi? Yaani mnavyoshupalia hili utafdhani kuna mechi kali kati ya matajiri na masikini!

Akili za masikini siku zote zinafurahia wenye bidii ya mafanikio wakiteseka na kufilisika. Yaani badala ya kupambana zifanikiwe kama wao zinafurahia wakishushwa. Ujinga.

Sasa basi watulie zamu yao ilishapita, wasubiri awamu nyingine. Maisha kupokezana.
 
Wale walikuwa na midomo mirefu na kumuita mungu mara nabii mara chuma
Hao ndio naona wangekuwa wanasimama pia hata bungeni na kumsifia tu
Na kama ni kupinga wanaomsema vibaya Basi waseme ila wamekaa kimya ingawa wameruhusiwa kuwa huru

Je wanaogopa nini tena kumtetea?
 
Huo ndiwo ukweli.

Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.

Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!
Basi ni mabwege, hao ambao wapo sehemu huku hawafurahishwi. Si waseme wasikike?
 
Kumbe wafanyabiashara na matajiri wao si wananchi? Yaani mnavyoshupalia hili utafdhani kuna mechi kali kati ya matajiri na masikini!

Akili za masikini siku zote zinafurahia wenye bidii ya mafanikio wakiteseka na kufilisika. Yaani badala ya kupambana zifanikiwe kama wao zinafurahia wakishushwa. Ujinga.

Sasa basi watulie zamu yao ilishapita, wasubiri awamu nyingine. Maisha kupokezana.
Kila mtu anabidii lakini kuna waliowekeza kwenye kutuibia fedha zetu na hicho ndio tunachokataa.
 
Wananchi hawapendezwi na hili jambo kabisa.

Wanaona kiongozi wao yuko mbali nao.

Anawakumbatia wafanyabiashara na matajiri.

Hasikii vilio vyao. Inasikitisha mno .
Mtaani huku wanasema Rais wa Wanyonge Magufuli alifariki sasa hivi yupo Rais wa Matajiri.
 
Huo ndiwo ukweli.

Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.

Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!
Suala lisiwe kumfurahisha mtu bali kuusema ukweli.

Kusaidiwa kufika mahali siyo hoja ya kutosemwa aliyekusaidia kama ni mwovu.

Kama umesaidiwa na jambazi, kama na wewe ni jambazi mdogo, hutafurahia jambazi kubwa lililokusaidia kusemwa lakini kama wewe siyo jambazi, ukasaidiwa na jambazi, nawe ukakubali msaada wa jambazi kutokana na njaa yako, akitokea wa kulisema lile jambazi lililokusaidia, nina hakika utakaa tu kimya, na pengine moyoni utafurahia tu, japo itakuuma na kujilaumu kwa nini ulikubali msaada wa jambazi.
 
Hata Wakimsema Vyovyote Vile
Lakini Magufuli Atabaki Magufuli na Sioni Wakumkaribia Hata 20%
Ni sahihi.

Tulikuwa na Marais waliotangulia. Kila mmoja alikuwa na mabaya yake. Lakini hakuna aliyemkaribia Magufuli katika uovu: kuteka watu, kuua, kupoteza, kubambikia watu kesi, kupora pesa za watu, kuua kabisa demokrasia, kupora uchaguzi, kuharibu Bunge na Mahakama. Wa namna hiyo hayukuwahi kuwa naye. Na katika hayo, hakuna aliyemkaribia, na pengine hatakuwepo milele.
 
Huo ndiwo ukweli.

Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.

Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!

..kama ambavyo walikuwepo ambao walikuwa hawapendi ubaguzi na ukatili wa serikali ya awamu ya 5.
 
wote ni wahuni tu hao, hakuna wa kumfikia wala kumkaribia magufuri kazi aliyowafanyia watanzania. Wengine wanaweza kupiga umbea tu na si kazi
Hakuna chochote kizuri cha pekee ambacho watangulizi wake hawakufanya.

Mambo pekee anayowazidi watangulizi wake, ni uovu.
 
Huo ndiwo ukweli.

Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.

Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!
Ni kweli kabisa watu kama Kabudi, Sabaya, Makonda, Kalemani, Kitwanga, Bashiru, Polepole, Dotto James etc, wao wako msibani kila siku.

Dunia lazima iambiwe namna tulivyotawaliwa na Dikteta wa Chato aliyekuwa anateka, anaua, ana nyang'anya fedha za wafanyabiashara na mwisho alivuruga uchumi.

Mtanzania yeyote mwenye akili timamu lazima ashiriki zoezi la kumnanga Dikteta mpaka Dunia yote ielewe. Ila wale vwanaomuabudu Magufuli waendelee
 
Back
Top Bottom