Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Yeye mbona alimsema sanaa Kikwete?Hata Wakimsema Vyovyote Vile
Lakini Magufuli Atabaki Kuwa Magufuli na Sioni Wakumkaribia Hata kwa 20%
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye mbona alimsema sanaa Kikwete?Hata Wakimsema Vyovyote Vile
Lakini Magufuli Atabaki Kuwa Magufuli na Sioni Wakumkaribia Hata kwa 20%
Hamwezi MaguMwaka mmoja akiwa madarakani Magufuli alikuwa amefanya kazi kubwa sana na ilikuwa inaonekana.
Kuanzia kwenye sera na sheria hadi huduma na uwajibikaji. Alikuwa ameshaiweka nchi kwenye msitari na alikuwa very popular.
Mama yenu ana zaidi ya mwaka na mwezi mmoja na bado ni unpopular kuliko hata Kikwete, kwahiyo anaumia. Anatapatapa.
Pole zake. Na asipokuwa makini 2025 itafika hajafanya chochote cha maana.
Bei za mafuta zi juu, bidhaa juu, badala ya kuhamishia juhudi zote katk kutatua changamoto znazotukabili kama Nchi. Watu wanamjalili marehemu kama kwamba hawakuwa sehemu ya Serikali hiyo.Huo ndiwo ukweli.
Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.
Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!
Kabisa. Anatapatapa, hajui hata asimamie kipi!Hamwezi Magu
Anajaribu kumuiga na kumponda at the same time, hajui cha kufanya
Magu alikuwa akipanda jukwaani ku lay out his battle plans, achievements and vision, ilikuwa lazima atengeneze world news
Be sensible. Pretending sometimes is an evidence for brainlessness.Jibu,alimuua nani?
Kamfufue umuweke chumbani mwako. UtambikeWananchi hawapendezwi na hili jambo kabisa.
Wanaona kiongozi wao yuko mbali nao.
Anawakumbatia wafanyabiashara na matajiri.
Hasikii vilio vyao. Inasikitisha mno .