Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok,nendeni Sasa na gwajima akamrudishie upya uhai, maana mnasujudia as if ni munguWanaomnanga JPM wanajisumbua tu. Katika hali ya kawaida, ukiacha Majaliwa, nani yupo serikalini sasa anaweza kulinganishwa na JPM?
Kichwa kimoja cha JPM ni sawa na vichwa kama vyote vilivyopo sasa ukimwondoa Majaliwa.
Mbona wewe hukuuawa ?Wacha asemwe iwe fundisho kwa wenye kupenda kutumia madaraka yao kuua na kutesa watu
Hatukuwa na haja ya kupora kwa sababu hakuna upinzani wa kweli Tanzania. Hakuna mbadala wa CCM. Usijitoe ufahamu.Wananchi gani, hao mliopora uchaguzi mkawawekea majizi ya ccm? Mngekuwa mnajali wananchi mngeheshimu box la kura. Mnajificha kwa wananchi dhalimu akipewa ukweli wake.
Alimuua nani ?Ni sahihi.
Tulikuwa na Marais waliotangulia. Kila mmoja alikuwa na mabaya yake. Lakini hakuna aliyemkaribia Magufuli katika uovu: kuteka watu, kuua, kupoteza, kubambikia watu kesi, kupora pesa za watu, kuua kabisa demokrasia, kupora uchaguzi, kuharibu Bunge na Mahakama. Wa namna hiyo hayukuwahi kuwa naye. Na katika hayo, hakuna aliyemkaribia, na pengine hatakuwepo milele.
Wewe umekuja lini Tanzania?Alimuua nani ?
Kila kitu kinaashiria hivyo maana ndio wanaotamba kwa sasa.Mtaani huku wanasema Rais wa Wanyonge Magufuli alifariki sasa hivi yupo Rais wa Matajiri.
Nasubiri Kuna wataambia nini kwenye kampeni za 2024 na 2025.Kila kitu kinaashiria hivyo maana ndio wanaotamba kwa sasa.
Swali zuri sana kama wanauelewa watabadilika ila wakiendelea kushupaza shingo ipo siku itavunjika.Nasubiri Kuna wataambia nini kwenye kampeni za 2024 na 2025.
Vijisalia vya jiwe vilivyobakia vinatapatapa kutetea legacyAlimuua nani?
Nikuulize wewe umekuja lini kwenye nchi yetu ?Wewe umekuja lini Tanzania?
Alikuwa hovyo kupindukia na wote wanaomuunga mkono ni hovyo ile ile tu.Hata Wakimsema Vyovyote Vile
Lakini Magufuli Atabaki Kuwa Magufuli na Sioni Wakumkaribia Hata kwa 20%
Miye nafurahia sana kunangwa yule shetani majununi. Vile vile naona aibu tunaposhirikisha mabeberu kumnanga mtanzania. SSH yuku USA mabeberu wanasaidiana naye kumnanga bila kujua kwa kuwa yeye aliyekuwa makamu wake ni sehemu ya ushetani. Anajinanga tu!Huo ndiwo ukweli.
Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.
Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!
Mtapata tabu sana, ni kipi ambacho jiwe aliwasaidia masikini?kama unamwambia masikini, afe tu pale jua linapokuwa kali na kushindwa kuvuna mazao yake!!eti serikali haina mashamba.Ni marufuku kwa masikini kusema hali ya maisha ni ngumu!!Wananchi hawapendezwi na hili jambo kabisa.
Wanaona kiongozi wao yuko mbali nao.
Anawakumbatia wafanyabiashara na matajiri.
Hasikii vilio vyao. Inasikitisha mno .
Kwenu nyie wazee hilo ni kweli.Hatukuwa na haja ya kupora kwa sababu hakuna upinzani wa kweli Tanzania. Hakuna mbadala wa CCM. Usijitoe ufahamu.
Alishindwa kujitumbua kw PhD feki.Wazee wa short cut, janjajanja,vyeti feki, waliotumbuliwa na mpendwa JPM wanahasira.
JPM atabaki kuwa moja ya marais bora Afrika.
Legasi🤔Alimuua nani?