wote ni wahuni tu hao, hakuna wa kumfikia wala kumkaribia magufuri kazi aliyowafanyia watanzania. Wengine wanaweza kupiga umbea tu na si kazi
Lakini usisahau wapo pia wengi tu wanaofurahia. Hiyo ndio siasa ya Tz kwahiyo wawe Wapole tu. Ni kama vile ambavyo walikuwepo wengi ambao walikuwa hawapendi jinsi Magufuli alivyokuwa anawananga watangulizi wake.
Wanazaidi ya mwaka Sasa. Na hawajafaulu..Huo ndiwo ukweli.
Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.
Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!
Ni magufuli bintiwote ni wahuni tu hao, hakuna wa kumfikia wala kumkaribia magufuri kazi aliyowafanyia watanzania. Wengine wanaweza kupiga umbea tu na si kazi
Hasa wa shortcut!Wazee wa short cut, janjajanja,vyeti feki, waliotumbuliwa na mpendwa JPM wanahasira.
JPM atabaki kuwa moja ya marais bora Afrika.
Sema baadhi ya wananchi. Na pia Mbona hata yeye Magufuli alikua anawasema vibaya viongozi wastaafu?!Wananchi hawapendezwi na hili jambo kabisa.
Wanaona kiongozi wao yuko mbali nao.
Anawakumbatia wafanyabiashara na matajiri.
Hasikii vilio vyao. Inasikitisha mno .
Naona umeisahau mipasho ya magu kwa watangulizi wake! Au naye alikuwa na maumbile ya kike?Maumbile ya kike kazi yake umbea na mipasho ya taarabu tu.
Kumbe wafanyabiashara na matajiri wao si wananchi? Yaani mnavyoshupalia hili utafdhani kuna mechi kali kati ya matajiri na masikini!Wananchi hawapendezwi na hili jambo kabisa.
Wanaona kiongozi wao yuko mbali nao.
Anawakumbatia wafanyabiashara na matajiri.
Hasikii vilio vyao. Inasikitisha mno .
Basi ni mabwege, hao ambao wapo sehemu huku hawafurahishwi. Si waseme wasikike?Huo ndiwo ukweli.
Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.
Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!
Kila mtu anabidii lakini kuna waliowekeza kwenye kutuibia fedha zetu na hicho ndio tunachokataa.Kumbe wafanyabiashara na matajiri wao si wananchi? Yaani mnavyoshupalia hili utafdhani kuna mechi kali kati ya matajiri na masikini!
Akili za masikini siku zote zinafurahia wenye bidii ya mafanikio wakiteseka na kufilisika. Yaani badala ya kupambana zifanikiwe kama wao zinafurahia wakishushwa. Ujinga.
Sasa basi watulie zamu yao ilishapita, wasubiri awamu nyingine. Maisha kupokezana.
Mtaani huku wanasema Rais wa Wanyonge Magufuli alifariki sasa hivi yupo Rais wa Matajiri.Wananchi hawapendezwi na hili jambo kabisa.
Wanaona kiongozi wao yuko mbali nao.
Anawakumbatia wafanyabiashara na matajiri.
Hasikii vilio vyao. Inasikitisha mno .
Suala lisiwe kumfurahisha mtu bali kuusema ukweli.Huo ndiwo ukweli.
Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.
Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!
Ni sahihi.Hata Wakimsema Vyovyote Vile
Lakini Magufuli Atabaki Magufuli na Sioni Wakumkaribia Hata 20%
Huo ndiwo ukweli.
Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.
Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!
Hakuna chochote kizuri cha pekee ambacho watangulizi wake hawakufanya.wote ni wahuni tu hao, hakuna wa kumfikia wala kumkaribia magufuri kazi aliyowafanyia watanzania. Wengine wanaweza kupiga umbea tu na si kazi
Ni kweli kabisa watu kama Kabudi, Sabaya, Makonda, Kalemani, Kitwanga, Bashiru, Polepole, Dotto James etc, wao wako msibani kila siku.Huo ndiwo ukweli.