Si wote ndani ya Serikali wanafurahia kunangwa Hayati

Hajawahi kutokea duniani mtu akakosa wafuasi kabisa, hata shetani anao wafuasi tena wengi tu.
 
Wanaomnanga JPM wanajisumbua tu. Katika hali ya kawaida, ukiacha Majaliwa, nani yupo serikalini sasa anaweza kulinganishwa na JPM?
Kichwa kimoja cha JPM ni sawa na vichwa kama vyote vilivyopo sasa ukimwondoa Majaliwa.
Ok,nendeni Sasa na gwajima akamrudishie upya uhai, maana mnasujudia as if ni mungu
 
Wananchi gani, hao mliopora uchaguzi mkawawekea majizi ya ccm? Mngekuwa mnajali wananchi mngeheshimu box la kura. Mnajificha kwa wananchi dhalimu akipewa ukweli wake.
Hatukuwa na haja ya kupora kwa sababu hakuna upinzani wa kweli Tanzania. Hakuna mbadala wa CCM. Usijitoe ufahamu.
 
Alimuua nani ?
 
Huo ndiwo ukweli.

Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.

Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!
Miye nafurahia sana kunangwa yule shetani majununi. Vile vile naona aibu tunaposhirikisha mabeberu kumnanga mtanzania. SSH yuku USA mabeberu wanasaidiana naye kumnanga bila kujua kwa kuwa yeye aliyekuwa makamu wake ni sehemu ya ushetani. Anajinanga tu!
 
Wananchi hawapendezwi na hili jambo kabisa.

Wanaona kiongozi wao yuko mbali nao.

Anawakumbatia wafanyabiashara na matajiri.

Hasikii vilio vyao. Inasikitisha mno .
Mtapata tabu sana, ni kipi ambacho jiwe aliwasaidia masikini?kama unamwambia masikini, afe tu pale jua linapokuwa kali na kushindwa kuvuna mazao yake!!eti serikali haina mashamba.Ni marufuku kwa masikini kusema hali ya maisha ni ngumu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…