2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Wazungu wanaipa dunia tabu sana, wanaamini kila wanachoanzisha kinapaswa kufuatwa na kutekelezwa kokote duniani.
Dunia ya sasa imeharibika sababu ya demokrasia. Demokrasia ni nzuri lakini imesababisha matatizo sana.
Hivi kweli serikali yenye kila zana inawezaje kushindwa au kuangushwa na nguvu za wananchi ambao hawana silaha? Kama hii dhana inafanya kazi vizuri ingekuwa ishakomboa nchi kama Urusi,Uchina,Uganda na N. Korea na nchi nyingine ambazo demokrasia kwao ni mwiko.
Watu pekee wanaoweza kupambana na serikali labda waasi au jeshi. Yani silaha kwa silaa sio silaha kwa mkono mtupu. Utatolewa utumbo bure na watu wataendelea na maisha.