Siamini kabisa hii dhana ya "People's Power"

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Wazungu wanaipa dunia tabu sana, wanaamini kila wanachoanzisha kinapaswa kufuatwa na kutekelezwa kokote duniani.

Dunia ya sasa imeharibika sababu ya demokrasia. Demokrasia ni nzuri lakini imesababisha matatizo sana.

Hivi kweli serikali yenye kila zana inawezaje kushindwa au kuangushwa na nguvu za wananchi ambao hawana silaha? Kama hii dhana inafanya kazi vizuri ingekuwa ishakomboa nchi kama Urusi,Uchina,Uganda na N. Korea na nchi nyingine ambazo demokrasia kwao ni mwiko.

Watu pekee wanaoweza kupambana na serikali labda waasi au jeshi. Yani silaha kwa silaa sio silaha kwa mkono mtupu. Utatolewa utumbo bure na watu wataendelea na maisha.
 
Ushindi katika mapambano siku zote ni matokeo ya ushirikiano "cooperation" zaidi kuliko silaha au wingi ndio maana unaona chama cha kikomunisti cha China(CCP) chenye wanachama milioni 95 tu kimeweza kuwatala watu bilioni 1.2 au Uingereza ambayo ni robo ya Tanzania tu kuna wakati ilitawala theluthi moja ya dunia katika kilele cha himaya yake.
 
Hata wayahudi, moses alipoenda mlimani wakaanzisha peoples power,. Kilichowakuta hawatasahau,,,
Democracy inakubali kwa nchi baadhi tu, hasa za magharibi,
Marekani kwenyewe fujo tu,, wanapigana sana risasi wale, mauaji ya kisiasa huko yako juu sana
 
Wazungu wanaipa dunia tabu sana, wanaamini kila wanachoanzisha kinapaswa kufuatwa na kutekelezwa kokote duniani.

Dunia ya sasa imeharibika sababu ya demokrasia. Demokrasia ni nzuri lakini imesababisha matatizo sana.

Hivi kweli serikali yenye kila zana inawezaje kushindwa au kuangushwa na nguvu za wananchi ambao hawana silaha? Kama hii dhana inafanya kazi vizuri ingekuwa ishakomboa nchi kama Urusi,Uchina,Uganda na N. Korea na nchi nyingine ambazo demokrasia kwao ni mwiko.

Watu pekee wanaoweza kupambana na serikali labda waasi au jeshi. Yani silaha kwa silaa sio silaha kwa mkono mtupu. Utatolewa utumbo bure na watu wataendelea na maisha.
Kama mpaka sasa hujawahi kuona nguvu ya umma ikibadili utawala basi bila shaka huna macho na nimekusamehe
 
Magufuli alilindwa na mizinga na mabomu lakini kafa

Ubabe una mwisho wake kijana soma historia vizuri. Dola katilli zenye nguvu zilianguka wakati ulipotimu
Ccm nayo itaanguka tu

Punguza kibri na majivuno soma alama za nyyakati
 
Dogo umevimbiwa mataputapu. Hakuna mfumo bora duniani kwa nyakati hizi wa kutawala na kuongoza harakati zakisiasa na kiuchumi KWA kwa jamii ambazo ni multcutural na Zina social diversities kama mfumo wa democrasy ni perfect.

Labda utatokea mfumo mwingine ambao utaichallenge democrasia ya nyakati hizi huko mbeleni
 
Wazungu wanaipa dunia tabu sana, wanaamini kila wanachoanzisha kinapaswa kufuatwa na kutekelezwa kokote duniani.

Dunia ya sasa imeharibika sababu ya demokrasia. Demokrasia ni nzuri lakini imesababisha matatizo sana.

Hivi kweli serikali yenye kila zana inawezaje kushindwa au kuangushwa na nguvu za wananchi ambao hawana silaha? Kama hii dhana inafanya kazi vizuri ingekuwa ishakomboa nchi kama Urusi,Uchina,Uganda na N. Korea na nchi nyingine ambazo demokrasia kwao ni mwiko.

Watu pekee wanaoweza kupambana na serikali labda waasi au jeshi. Yani silaha kwa silaa sio silaha kwa mkono mtupu. Utatolewa utumbo bure na watu wataendelea na maisha.
Libya ilikuwaje?
 
Ushindi katika mapambano siku zote ni matokeo ya ushirikiano "cooperation" zaidi kuliko silaha au wingi ndio maana unaona chama cha kikomunisti cha China(CCP) chenye wanachama milioni 95 tu kimeweza kuwatala watu bilioni 1.2 au Uingereza ambayo ni robo ya Tanzania tu kuna wakati ilitawala theluthi moja ya dunia katika kilele cha himaya yake.
Kama sio huruma kwa wanyonge wangeendelea kutawala tu sababu nguvu walikuwa nazo
 
Kama mpaka sasa hujawahi kuona nguvu ya umma ikibadili utawala basi bila shaka huna macho na nimekusamehe
Nchi gani serikali ilikuwa na silaha zote na bado ilishindwa na wananchi wasio na silaha bila huruma na kuangalia ubinadamu?
 
Magufuli alilindwa na mizinga na mabomu lakini kafa

Ubabe una mwisho wake kijana soma historia vizuri. Dola katilli zenye nguvu zilianguka wakati ulipotimu
Ccm nayo itaanguka tu

Punguza kibri na majivuno soma alama za nyyakati
Kwa hiyo nguvu ya umma inategemea kifo kama mkombozi wao?
 
Kama sio huruma kwa wanyonge wangeendelea kutawala tu sababu nguvu walikuwa nazo
Sio suala la nguvu, wao walikuwa wachache ila wenye ushirikianao zaidi miongoni mwao, makolini yao yalikuwa mengi na yenye watu wengi ila ambao hawana ushirikiano kati yao, wamegawanyika.
Askari waliokuwa wanatumika kuzima harakati za ukoloni kwenye makolini ya Uingereza walikuwa wanatoka kati ya watawaliwa wenyewe.
 
silaha kwa silaa sio silaha kwa mkono mtupu. Utatolewa utumbo bure na watu wataendelea na maisha.
Kama unaluelewa hili; Quran ilishatoa mwongozo huu miaka 1400 iliyopita.

Jino kwa Jino, jicho kwa jicho.

Akiongea kichina mjibu kichina mtaelewana. Sio wewe unajibu kusukuma.... Hamtoelewana
 
Back
Top Bottom