Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

[emoji2296][emoji2296][emoji2296]
 

I like such minds
Definitely najua tungekutana nje nawe ya jf tungekuwa marafiki,una ufala flani hivi tunaendana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una moyo wa ajabu, unawezje kuwa na mahusiano na mtu usiempenda tena unapata na courage ya kumwambia kwamba unampenda sana

Katika vitu vimenishinda ni kupretend love, kama sina hisia na mtu wala simpendi ataishia tu kunitazama maana hata chance ya kunisemesha simpi, siweziiiiii kabisaa tena naona kinyaa kuwa na mahusiano na mtu nisiyempenda hata awe na kitu gani wala hanipati

Mwisho wa siku unajidanganya wewe maana you are laying with your heart, utapata magonjwa ya moyo bure maana you will never be happy in that relationship

Kuwa na mtu usiempenda ni kujitakia maisha ya huzuni na masononeko na majuto pia, maana hata afanye nini you will never see any good in him/her

Kila atakachofanya utakiona negative, na utaishia kuidhi a negative life

Nimebaki tu nakutafakari,
 
Tunafanana kabisa yaani, nimejikuta nashangaa
 
Kabisa aiseee
 
Nampa pole huyo mwanaume uliyenae kwa kuingia chaka. Tena chaka la simba.
 
If he isn't your choice then why ulimkubali? Huoni unajiumiza mwenyewe aisee!! Acha hizo mambo dada maana hapo humkomoi huyo mwanaume ni unajikomoa we mwenyewe kimwili na kihisia.

Unless iwe ni huwezi kujitegemea mwenyewe kimaisha ndiyo maana umejikaliza sehemu siyo coz unajua mwenyewe kinacho kuweka hapo.
 
atakua ameshajijua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yuko tu anamcheki jamaa anavyofoka
Na yawezekana anachangia kwenye huu uzi pia, au mleta uzi kichwa chake ni kama cha Mossad, amelata uzi A kumbe malengo yake ni B.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…