Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Hahahahahahahhahahahahahahahahahhahahahahahahahahahaahhahaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuimba kupokezana
 
Naapa mbele ya Malaika zangu lazima nilipize
Kwa kifupi you are an idiot.
 
Kaniblock kila mahali.
Mm nimwaminifu mno kwake ila yeye anawivu ndio sababu na ashaniambia hawezi control wivu wake juu yangu.
Hata niki😍😍😍 post ya mdada humu basi ni kesi. Sasa kuna watu walinitag somewhere nikachangia kawaida shida ndio ikaanzia hpo
Kwann niende kwenye uzi huo (ulikua na wadada wengi wanachangiaa)

Ila nampenda hadi sijielewi
 
Ficha ujinga wako
 
Oooh wewe ni mvulana ukikua utaacha
 
Na nilivyo na kihedemswede cha kutag watoto wa watu..!? Walaqhi' nimekoma, sema nawe tuambie I'd yako nyingine isije kuwa ni Don Clericuzio maana nilimtag Jana akii.!! πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Pole sana, kama unachosema ni kweli, basi atakua alikua anakutafutia sababu, wivu usio na sababu wakati mwingin ni utumwa

Kwani mkuu ulikutana nae hapa Janvini?

Kama ulikutana nae hapa, mlitakiwa mkubaliane kwamba ya kwenye mtandao myaache humu humu mtandaoni

Mmewahi kutofautiana kwa jambo kama hilo kabla ya kukuacha?
 
Hebu mtag kwanza huyo mdada then tuendelee na ushauri
 
Ushauri wenu wakuu

Umemuambia ukweli inawezekana it's true alikuwa anatafutiwa sababu, hivii mli solve hiyo issue hapo juu Zack??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…