Siamini kama utajiri unapatikana kwa njia ngumu zenye mateso

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
11,837
Reaction score
17,412
Tokea zamani nimekuwa siamini msemo unaosema kwamba utajiri unahitaji uvumilivu,subira,kupitia magumu nakadhaalika.

ninachoamini ni kwamba utajiri sio mgumu kupatikana ni rahisi lakini huwenda njia zake hizo watu hawazijui(zina siri)

Tukumbuke kuwa kitu kuwa rahisi haina maana kwamba watu watakijua kitu hiko,kinaweza kuwa ni rahisi na bado ikawa ni siri pia.

Mimi naamini utajiri una formula zake nyepesi nyepesi za siri ambazo wachache wanazifahamu.

KAMA utajiri ni kupitia magumu mbona leo tuna idadi kubwa ya watanzania wanaofanya kazi ngumu za kilimo na ujenzi na bado hawawi matajiri ?

KAMA utajiri unahitaji muda ukiwa katika kazi ngumu mbona kuna watu wanazeekea na kufia katika kazi za ujenzi miaka na miaka bila kuwa matajiri ?

Kama utajiri ni kupitia magumu na mateso basi leo watanzania wengi sana wangekuwa matajiri kwa sababu idadi kubwa ya watanzania wanafanya kazi ngumu.

Bakhresa wanasema alitoka kwenye kazi ya kushona viatu,mbona kuna wanaozeekea katika kazi hiyo hawawi kama bakhresa ?

Utajiri naamini ni siri,tena siri ni nyepesi mno lakini nadhani huwenda wengi wetu tunaamini kwamba lazima tuteseke kwanza na kuumia ndipo tupate utajiri.

Nakataa kujifariji kwamba mateso ninayopitia ni ishara ya kutoboa mbeleni kwa sababu wapo wanaozaliwa kwenye mateso na kufia kwenye mateso bila kuuona utajiri.
 
Pamoja na kutumia nguvu nyingi kuelezeq utajiri point ipo pale pale utajiri ni siri

Nakataa kujifariji kwamba mateso ninayopitia ni ishara ya kutoboa mbeleni kwa sababu wapo wanaozaliwa kwenye mateso na kufia kwenye mateso bila kuuona
 
Back
Top Bottom