Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Mkuu naomba nikupe majibu rahisi ambayo tulifundishwa katika uchumi,Njia kuu 3 za kuwa tajiri.
1.Asilimia 70 ya matajiri wanarithi kutoka familia zao na kuendeleza.angalia matajiri 100 wa dunia utagundua hili,angalia matajiri 100 wa Afrika hata Tanzania utagundua hill.
2. Asilimia 20 ni bahati,matajiri wengine katika kundi LA kwanza wametoka hapa kwenye kundi LA 2.
3. Only 10% ni juhudi na maarifa.
Na huo utajiri ili uendelee Ku sustain lazima use close na Serikali ya Nchi husika.Usiwaone akina Bill get ,Dangote na wengine nyuma ya pazia wamefanya unyama mwingi kwa kushirikiana na Serikali.