safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
- Thread starter
- #81
Fafanua vzur mzee babaUtaishia kufanya kazi ngumu hadi kifo usipogundua kuwa "maisha ni mchezo".
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua vzur mzee babaUtaishia kufanya kazi ngumu hadi kifo usipogundua kuwa "maisha ni mchezo".
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wakina Bakhresa siyo wenzako. Wengi wanaaccess ya pesa kutoka kwa jamaa zao uarabuni wenye pesa kibao za mafuta na gesi. KItu cha kwanza kuamua iwapo utafanikiwa ni mazingira yaliyowekwa na serikali. Hata upambane kwa nguvu zako zote, kama mazingira si ya kufanikiwa, hutafanikiwa kamwe.Sikubaliani na wewe kwa mazingira mengi tu.
Kwa sababu serikali inayomuongoza bakhresa ndio hiyo hiyo inayomuongoza babu yangu kijijini.
So ingelikuwa swrikali ndio sababu basi tungekuwa na bakhresa wengi.
Nina hakika kuna something behind
Wapo watu kibao wamefanikiwa bila hata ndugu uarabuni wakiwa hapa bongo huku wakiwaacha watu wengine katika hali zile zileza umasikini ilhali serikali inayowaongoza ni ile ile,mazingira wanayoishi ni yale yale.Hawa wakina Bakhresa siyo wenzako. Wengi wanaaccess ya pesa kutoka kwa jamaa zao uarabuni wenye pesa kibao za mafuta na gesi. KItu cha kwanza kuamua iwapo utafanikiwa ni mazingira yaliyowekwa na serikali. Hata upambane kwa nguvu zako zote, kama mazingira si ya kufanikiwa, hutafanikiwa kamwe.
Hao ni exceptions chache ambao wameweza kutumia fursa chache walizopata. Unafikiri Bill Gates angezaliwa Tanzania angeweza anzisha Microsoft? Unafikiri Elon Mask angeweza fanyta aliyofanya angebaki Afrika Kusini. Nchi uliyopo inadetermine kufanikiwa kwako kuliko kitu kingine chochote. Kuliko bidii yako, kuliko elimu yako.Wapo watu kibao wamefanikiwa bila hata ndugu uarabuni wakiwa hapa bongo huku wakiwaacha watu wengine katika hali zile zileza umasikini ilhali serikali inayowaongoza ni ile ile,mazingira wanayoishi ni yale yale.
Hivyo hoja yako siikubali kwa sababu ina mashiko dhaifu kwa upande wangu mkuu
Ungejua usingalitoa jibu kama hilo.Kwanza Mungu hajaumba pesa. Pesa ni Man made.
Mmmmmmh!!! Kupigwa pini????Fanya yote, iwe ni kuwa na nidhamu ya pesa, kuwa na malengo, kujituma na hata kujinyima ila usipojua njia za kuepuka kupigwa pini na wenye husda, ni bure.
Wewe ndo unatudanganya sasaHuwezi kuwa tajiri pasi na kupitia haya
1. Kurithi mali/rasilimali ukaziendeleza
2. Kupitia katika njia ambayo tayari imeshalimwa na watangulizi wako (kuandaliwa mazingira)
Zaidi ya hapo ni kutafuta kuishi vizuri tu na vijisenti vya kubadilisha mboga na gari la kutembelea kwisha kazi,tusidanganyane.
Sawa AmadiWewe ndo unatudanganya sasa