Siamini kama utajiri unapatikana kwa njia ngumu zenye mateso

Sikubaliani na wewe kwa mazingira mengi tu.

Kwa sababu serikali inayomuongoza bakhresa ndio hiyo hiyo inayomuongoza babu yangu kijijini.

So ingelikuwa swrikali ndio sababu basi tungekuwa na bakhresa wengi.

Nina hakika kuna something behind
Hawa wakina Bakhresa siyo wenzako. Wengi wanaaccess ya pesa kutoka kwa jamaa zao uarabuni wenye pesa kibao za mafuta na gesi. KItu cha kwanza kuamua iwapo utafanikiwa ni mazingira yaliyowekwa na serikali. Hata upambane kwa nguvu zako zote, kama mazingira si ya kufanikiwa, hutafanikiwa kamwe.
 
Wapo watu kibao wamefanikiwa bila hata ndugu uarabuni wakiwa hapa bongo huku wakiwaacha watu wengine katika hali zile zileza umasikini ilhali serikali inayowaongoza ni ile ile,mazingira wanayoishi ni yale yale.

Hivyo hoja yako siikubali kwa sababu ina mashiko dhaifu kwa upande wangu mkuu
 
Hao ni exceptions chache ambao wameweza kutumia fursa chache walizopata. Unafikiri Bill Gates angezaliwa Tanzania angeweza anzisha Microsoft? Unafikiri Elon Mask angeweza fanyta aliyofanya angebaki Afrika Kusini. Nchi uliyopo inadetermine kufanikiwa kwako kuliko kitu kingine chochote. Kuliko bidii yako, kuliko elimu yako.
 
Wewe ndo unatudanganya sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…