Siamini kuwa CHADEMA hawana watu wa kusema kwenye mikutano ya hadhara hadi wawasubiri Lissu, Lema, na Wenje

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Hawa vijana wa CHADEMA waliojazana humu na kutoa maneno ya kejeli kumbe ni bure kabisa.

Ni bure kiasi kwamba hawawezi kuongea kwenye mikutano ya hadhara na ndiyo maana wameahirisha kuanza mikutano ya hadhara hadi Lissu, Lema, na Wenje waje.
 
Hawa vijana wa CHADEMA waliojazana humu na kutoa maneno ya kejeli kumbe ni bure kabisa. Ni bure kiasi kwamba hawawezi kuongea kwenye mikutano ya hadhara na ndiyo maana wameahirisha kuanza mikutano ya hadhara hadi Lissu, Lema, na Wenje waje
Usiwapangie.
 
Upumbavu mwingine huu wa mtoa hoja,why una wasiwasi na CDM kama unaona ni chama mfu?,wewe Lumumba team niambie mimi nini utakifanya tofauti kwa nchi yangu kwa sasa maana umasikini, maradhi na ujinga na rushwa inayonuka kila pembe ya nchi imetamalaki, mkuu soma hili rushwa ni cancer hapa nchini, why hapa Dar to Moro (200km )una road blocks zaidi ya 30,zote hizi ni za nini?
 
Tuliza boli ndugu chawa mwaminifu🤔
 
Hawa vijana wa CHADEMA waliojazana humu na kutoa maneno ya kejeli kumbe ni bure kabisa. Ni bure kiasi kwamba hawawezi kuongea kwenye mikutano ya hadhara na ndiyo maana wameahirisha kuanza mikutano ya hadhara hadi Lissu, Lema, na Wenje waje
Ulisikia wapi wanawasubiri. Mbona umejaa hofu?
 
Upumbavu mwingine huu wa mtoa hoja,why una wasiwasi na CDM kama unaona ni chama mfu?,wewe Lumumba team niambie mimi nini utakifanya tofauti kwa nchi yangu kwa sasa maana umasikini, maradhi na ujinga na rushwa inayonuka kila pembe ya nchi imetamalaki, mkuu soma hili rushwa ni cancer hapa nchini, why hapa Dar to Moro (200km )una road blocks zaidi ya 30,zote hizi ni za nini?
Utakuwa umendikiwa uandike haya hapa maana ungekuwa na uwezo hata 10% ya huu Lissu, Lema, na Wenje wasingesubiriwa mpaka waje
 
Hawa vijana wa CHADEMA waliojazana humu na kutoa maneno ya kejeli kumbe ni bure kabisa. Ni bure kiasi kwamba hawawezi kuongea kwenye mikutano ya hadhara na ndiyo maana wameahirisha kuanza mikutano ya hadhara hadi Lissu, Lema, na Wenje waje
Mshaanza kupaparika kama bisi kikaangoni
 
Maisha yangu I fight my battles, sisubiri eti comte aje anipiganie,ninapoona haki yangu inachezewa ninafanya push back 🔙, endelea kusubiri viajira uchwara
Utakuwa umendikiwa uandike haya hapa maana ungekuwa na uwezo hata 10% ya huu Lissu, Lema, na Wenje wasingesubiriwa mpaka waje
 
Hawaja kanyaga Bongo matumbo yana watetema vp siku lisu akituwa Bongo mtalala😵😵😵
 
Back
Top Bottom