Uchaguzi 2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

Umekimbilia kujibu hoja nyepesi ili uonekane una akili kubwa..!
Kazi ya gwajima ni kubwabwaja bila fact.
Huyo sauti ya zege tumeshamchoka hivyo hoja zozote kumhusu Gwajima haziwezi kuwa na ushawishi wowote.

Gwajima anao udhaifu mwingi tu but he is a lesser devil compared to Mdee.
 
Huyo sauti ya zege tumeshamchoka hivyo hoja zozote kumhusu Gwajima haziwezi kuwa na ushawishi wowote.

Gwajima anao udhaifu mwingi tu but he is a lesser devil compared to Mdee.
Wafuasi wa Gwajima mmeahidi kutoa mnaouita 'uchafu' wa Halima hadharani..lakini siku zinayoyoma bado mnabwabwaja hata huo uchafu hatuuoni.

Kubalini tu mmeingia Cha 'kike' kumrudisha huyo
 
Mbona hayo 'mabomu' hatuyaoni toka aanze kurukaruka madhabahuni
 
Amesoma PHD ya mambo ya kawaida
Ana shahada ya mambo ya kawaida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
NDIOOOO MB WENUUUUU
PIGENIIII KELELEEEEEEEEE MADODOFYOOO MTAMKUTA DODOOMAAAA
 
Train ina kuja kuzinduliwa bila kuwepo njia (reli)
Kweli waumini wake wali muelewe angesema kabisa na huko mbinguni itafika lini!

Unanikumbusha kuna Mkenya mmoja alituchekesha siku moja anasema walipokuwa msituni walivua samaki wengi sana.

Jamaa mmoja akamuuliza, jee ! mlivua nyoka ??😛😛
 
Ok, mjibie basi na hiyo ya kununua treni wakati hajajenga reli.
 
Kwa maneno anayo ongea kwenye kampeni.. nimeamini ile video ni ya kwake
 
Alikua anakodi vijana huko bagamoyo waje wajifanye misukule.
Kanisa lake lilikuwa linaitwa kanisa la misukule. Wengine waliamini kwamba kama umefiwa na unaamini kwamba marehemu alilogwa, basi Gwajima atamrudisha. Wengi walinaswa kwenye mtego huo.
 
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877
Huko nyuma nikiamini Gwaji ni mtu timamu upstairs lakini kwa haya yanayoanza kujitokeza, anakichoongea na anavyokiongea huyu bwana hayuko sawa na kama yuko sawasawa basi ana ajenda ya siri ya kukidharirisha chama chake ccm na viongozi wake sio bure! "Bi Kidude" wetu atamtenda kazi kwenye debe la kura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…