Siasa ndani ya Vatican zamshinda Kardinali mwafrika kutoka Ghana na kumlazimsha kuomba kujiuzulu

Siasa ndani ya Vatican zamshinda Kardinali mwafrika kutoka Ghana na kumlazimsha kuomba kujiuzulu

Asante kwa kitabu, nitakitafuta nijielimishe
Utakipata hapo hapo chumbani kwako. Kwa gharama ya Tsh 16,000 kujiunga na ,'anybook'
Ukilipa hiyo 16 hutakaa ulipe Tena. Utadoma vitabu wee hata beer na michepuko utaacha
 
Unamaanisha sisi waumini wake ni vitega uchumi tu ndani ya kanisa?
Na masister ni cheap labour kwa jina la "viapo vya utii" kaangalie kazi wanazofanya daily ufugaji wa ng'ombe mbuzi nguruwe,uzalishaji mashambani, ushonaji, viwsnda vidogo kama usindikaji usagaji unga uokaji.Wanaingizia taasisi mamilioni kwa posho ya chakula na malazi.
 
Nilshtuka mapema sanaa!!!
Hawa watu ni ma master mind.
 
Na masister ni cheap labour kwa jina la "viapo vya utii" kaangalie kazi wanazofanya daily ufugaji wa ng'ombe mbuzi nguruwe,uzalishaji mashambani, ushonaji, viwsnda vidogo kama usindikaji usagaji unga uokaji.Wanaingizia taasisi mamilioni kwa posho ya chakula na malazi.
Wadada waliosoma seminary/mission huwa wanawataja masister(wengi wao) kama watu wenye roho mbaya.
Possibly inasababishwa na hayo.
 
Link hiyo hapo nimekuwekea-sioni kwa nini usome summary

acha kujitetea ujinga. ulipaswa kuleta habari yako ikiwa kamili.

JF inatoa fursa pana kwa author kuandika habari yake kwa undani zaidi ili kutomuacha msomaji njia panda. link inakuwa ni ziada tu ya ku support kile ulichoandika.

hata hivyo link sio kitu salama sana na ndio maana wataalamu wa mifumo ya ulinzi wa kimtandao, siku zote wanashauri kutokukimbilia kufungua link ambayo huielewi.

hii inatokana na baadhi ya wahalifu wa kimtandao(hackers), kutumia link kama portal ya kukusanya taarifa mbalimbali za watu wengine kwa malengo ya kutenda uhalifu.
 
Pole Mkuu- unapenda sana summary. Utakuwa umesoma wakati huu wa power point. Link hiyo hapo nimekuwekea-sioni kwa nini usome summary- na unajua summary mara nyingi ni maoni ya mtu. Ninawaheshimu sana sitaki muende kwa maoni yangu wakati mnayo haki na maoni yenu.
Aacha uduwamzi, tunaposikiliza taarifa ya habari ile huwa ni summary ya kilichozungumzwa, kwahiyo yale huwa ni ni maoni ya mtangazaji? wee sema haujui maana ya sammary.
 
Ila sisi Wakatoliki bhana

Hatuendagi kanisani, hatuna habari na Kanisa, Licha ya kujua mabaya ya kanisa letu na watu wanavyotuponda Ila hatujawahi thubutu kulihama.

Mtu bado anabakia kuwa mkatoliki hataki kulihama.

Tujipigie makofi.

Tumtukuze Bwana, Tumshukuru Mungu.
 
Back
Top Bottom