kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,815
- 6,517
Mkuu nitakutafutaUtakipata hapo hapo chumbani kwako. Kwa gharama ya Tsh 16,000 kujiunga na ,'anybook'
Ukilipa hiyo 16 hutakaa ulipe Tena. Utadoma vitabu wee hata beer na michepuko utaacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nitakutafutaUtakipata hapo hapo chumbani kwako. Kwa gharama ya Tsh 16,000 kujiunga na ,'anybook'
Ukilipa hiyo 16 hutakaa ulipe Tena. Utadoma vitabu wee hata beer na michepuko utaacha
Ukiupata ujumbe huu naomba nipm please 🙏Na masister ni cheap labour kwa jina la "viapo vya utii" kaangalie kazi wanazofanya daily ufugaji wa ng'ombe mbuzi nguruwe,uzalishaji mashambani, ushonaji, viwsnda vidogo kama usindikaji usagaji unga uokaji.Wanaingizia taasisi mamilioni kwa posho ya chakula na malazi.
Nakuelewa- ila kwa maoni yangu kama kuna chanzo halisi kwanini nikupe maoni yangu- huo ndio msimamo wangu. Nimejipa tu u tarishi- nimeleta barua ukinuiliza imeandikwa au inahusu nini jibu langu litakuwa ni NIMEPEWA NA BOSS NILULETEEacha kujitetea ujinga. ulipaswa kuleta habari yako ikiwa kamili.
JF inatoa fursa pana kwa author kuandika habari yake kwa undani zaidi ili kutomuacha msomaji njia panda. link inakuwa ni ziada tu ya ku support kile ulichoandika.
hata hivyo link sio kitu salama sana na ndio maana wataalamu wa mifumo ya ulinzi wa kimtandao, siku zote wanashauri kutokukimbilia kufungua link ambayo huielewi.
hii inatokana na baadhi ya wahalifu wa kimtandao(hackers), kutumia link kama portal ya kukusanya taarifa mbalimbali za watu wengine kwa malengo ya kutenda uhalifu.