ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Tuweke Kila Kitu pembeni , Yani tuwe Kama wachambuzi wa soka, uchama pembeni, nataka Leo tumalize utata wa nani mkali na Ana akili na IQ kubwa Kati ya Nape na Pole Pole , Achaneni na mambo yaliyofanyika huko nyuma wafanyieni assement Kama neutral candidate, tujikite katika mambo yafuatayo:
1. Uchambuzi wa hoja mbalimbali za kiuchumi , siasa, historia, dunia Kiujumla.
2. Elimu , nani kasoma sana na muelewa zaidi.
3. Unahisi nani mzalendo zaidi na yupi mwenye uthubutu.
4. Nani anafaa Kama ungeambiwa uchague rais wa nchi Kati yao.
5. Any other opinion from u