Siasa pembeni, Polepole Vs Nape? Nani kichwa



Wote sio wazuri ni wahuni tu😂😂 naomba tusiabishe nchi yetu

Professor Assad, Ulimwengu na Mama Makinda ndiyo think tank sio hawa wajinga jinga
 
Wote sio wazuri ni wahuni tu😂😂 naomba tusiabishe nchi yetu

Professor Assad, Ulimwengu na Mama Makinda ndiyo think tank sio hawa wajinga jinga
Nasikia Makinda yalikuwa yakisokontolwa na dogo wa Kibamba enzi hizo yakiwa madogo na yana meno!
 

Kolola Yuda na Petro wote walikua wafuasi na wanafunzi wa Yesu. Ila katika hatma ya lile jambo lao wote walimkosea Yesu.

Yuda alimsaliti Yesu, wakati Petro alimkana Yesu
Wote wawili walitenda makosa sawa ila vile vipande30 vya fedha ndio vilimgharimu Yuda


Mwisho wa jambo Petro akiachwa kama mwamba ambao juu yake lilijengwa kanisa na Yuda alipatiwa kamba akajihukumu kihehe akaishia kufa mwenyewe bila shurti
 
Hii sio sehemu ya mahubiri yako ya kikanjanja, hili sio taifa la kidini.
 
..huwezi kusema mtu fulani ni " think tank. "

..think tank maana yake ni TAASISI inayofanya utafiti, na kutoa ushauri, kuhusu sera mbalimbali.

..ukiniuliza mimi, kwa hapa Tz, taasisi kama ESRF [ Economic and Social Research Foundation], naweza kuiita think tank / policy institute ya masuala ya sera za uchumi na kijamii.

..kwenye nchi za wenzetu kuna think tanks za masuala mbalimbali kama Foreign Policy, masuala ya ulinzi , masuala ya fedha na uchumi, etc etc.


cc Nguruvi3, Chige, Kiranga, Erythrocyte , MALCOM LUMUMBA
 
Mama D.
Kubwa lao hapa nakupa 5 kavu
Umen'gongelea penyiwe!!
Nchale huo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…