Siasa si uadui: Dk. Tulia amtembelea mama wa Halima Mdee aliyelazwa hospitali

Kufuatana na kanuni za kanisa Mbowe hana mamlaka ya kumalika mtu yeyote kwenye shughuri ya kanisa, anachoweza ni kumjulisha au kumhamasisha kuhusu shughuri itakayofanyika kanisani, hii ni kawaida kwa watu wote.
Si vizuri kuandika jambo linalohusu utaratibu wa kiutendaji wa kanisa wakati hauujui, chuki zako dhidi ya Mbowe usiziingize kanisani.
 
Usinipangie
 
Chama kimoja nao wawe madui?
 
Mama mdee amerudi alikuwa India few weeks...augue pole.....

Upande wa pili Vovid19 wanachezea pesa za walipa kodi masikini na speaker analijya hilo hizo pesa zote wamelipana miaka 3 hii..ingefanya mangapi kwa walala hoi ? Nasikia hasira sanaaa.....wananchi tunachezewa sana na utawala na mamlaka...sanaaas sanas
 
Kifua cha Mdee ni km cha IBRA classic.
 
Mdee na genge lake wapo bungeni kwa nguvu ya Tulia kwa hiyo hakuna cha ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…