Siasa si uadui: Dk. Tulia amtembelea mama wa Halima Mdee aliyelazwa hospitali

Siasa si uadui: Dk. Tulia amtembelea mama wa Halima Mdee aliyelazwa hospitali

Kwani sasa hivi si wamoja hao? Kuna uadui gani kati yao?

Ila jamani kila alipo Halima kuna Bulaya, mi nataka BFF kama huyo.
Huu upendo ni wa ajabu!
Umeuliza swali gumu. Lkn lina majibu....watakuja watu wakujibu. Mm nilishajibiwaga manake nilikuwa nashangaa kama ww
 
Ni suala la muda tu Halima Mdee atajiunga rasmi na CCM na Taarifa fulani fulani nilizonazo ni kwamba kuna Uwaziri wa Wizara muhimu atateuliwa. Tunzeni hii post yangu tafadhali.

Kwani yeye hapendi kula kulingana na kamba atakayopewa??
 
Back
Top Bottom