Siasa si uadui: Dk. Tulia amtembelea mama wa Halima Mdee aliyelazwa hospitali

Sema alipo halima kuna ester, au alipo mdee kuna bulaya.
Hayo mambo ndo makamu mwenyekiti wao anayapigania kuita ni faragha yasiingiliwe.
Kama wewe yule kijana bodaboda anayekutindua marinda watu wanapotezea kwani ndiyo maisha uliyoyachagua ya kuingiliwa kinyume cha maumbile,ni kinyeo chako kitumie utakavyo ila ujue wewe ni wa motoni tu.
 
Siasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa.
---

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, leo Januari 31, 2024 amemtembelea na kumjulia hali, Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa mbunge wa viti maalumu, Halima Mdee.

Dk Tulia ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) amemtembelea mama huyo aliyelazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma kwa matibabu.
Hao wote ni makada wa mbogamboga hakuna cha ajabu
 
Mzee Halima Ni CCM, inside out left to right, back to front.
Chhajabu ninini watu wa CCM wakitembeleana?
Wangemtembelea dadake Heche hapo sawa.
Lissu alipigwa risasi hadharani tena akiwa anatoka bungeni na ni jirani yake mbona hakuwahi kumtembelea? hao ni CCM wote
 
Siasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa.
---

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, leo Januari 31, 2024 amemtembelea na kumjulia hali, Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa mbunge wa viti maalumu, Halima Mdee.

Dk Tulia ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) amemtembelea mama huyo aliyelazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma kwa matibabu.
Nikimuona Ndee Pale Benjamini Mkapa, kumbe mama Kalazwa Pole yeke
 
Siasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa.
---

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, leo Januari 31, 2024 amemtembelea na kumjulia hali, Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa mbunge wa viti maalumu, Halima Mdee.

Dk Tulia ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) amemtembelea mama huyo aliyelazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma kwa matibabu.
LAZIMA AMTEMBELEE HALIMA NA GENGE LAKE WAMEIFICHIA AIBU SERIKALI YA KUNYIMWA MISAADA NA WAFADHILI KWA BUNGE KUTOKUWA NA KAMBI YA UPINZANI BAADA YA MAGUFULI KUVURUGA UCHAGUZI 2020

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Mara ya kwanza alitembelewa Wodini na Waziri Mkuu , Jana ametembelewa na Spika wa Bunge , leo ametembelewa na Rais .

Hii ni Bahati kubwa sana !

Screenshot_2024-02-01-14-44-06-1.png
 
Mara ya kwanza alitembelewa Wodini na Waziri Mkuu , Jana ametembelewa na Spika wa Bunge , leo ametembelewa na Rais .

Hii ni Bahati kubwa sana !

View attachment 2890779
Ni suala la muda tu Halima Mdee atajiunga rasmi na CCM na Taarifa fulani fulani nilizonazo ni kwamba kuna Uwaziri wa Wizara muhimu atateuliwa. Tunzeni hii post yangu tafadhali.
 
Back
Top Bottom