CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kama wewe yule kijana bodaboda anayekutindua marinda watu wanapotezea kwani ndiyo maisha uliyoyachagua ya kuingiliwa kinyume cha maumbile,ni kinyeo chako kitumie utakavyo ila ujue wewe ni wa motoni tu.Sema alipo halima kuna ester, au alipo mdee kuna bulaya.
Hayo mambo ndo makamu mwenyekiti wao anayapigania kuita ni faragha yasiingiliwe.
Hao wote ni makada wa mbogamboga hakuna cha ajabuSiasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa.
---
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, leo Januari 31, 2024 amemtembelea na kumjulia hali, Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa mbunge wa viti maalumu, Halima Mdee.
Dk Tulia ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) amemtembelea mama huyo aliyelazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma kwa matibabu.
Lissu alipigwa risasi hadharani tena akiwa anatoka bungeni na ni jirani yake mbona hakuwahi kumtembelea? hao ni CCM woteMzee Halima Ni CCM, inside out left to right, back to front.
Chhajabu ninini watu wa CCM wakitembeleana?
Wangemtembelea dadake Heche hapo sawa.
Hao wote ni chama kimoja wala hakuna jipyaKwani si wako chama kimoja? pole kwa mama
Wamekuwa hivyo baada ya kugombana na machadema wenzao?Hao ni [emoji304]
Mnajitekenya na kucheka....Mbunge wa CCM tena Spika kumtembelea mama wa mbunge viti maalum kupitia CHADEMA ni jambo la busara sana. Spika ana upendo hata kwa chama kinachokaribia kufa.
Sawa endelea kulipangia kanisa kama unadhani utashinda.Usinipangie
Nikimuona Ndee Pale Benjamini Mkapa, kumbe mama Kalazwa Pole yekeSiasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa.
---
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, leo Januari 31, 2024 amemtembelea na kumjulia hali, Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa mbunge wa viti maalumu, Halima Mdee.
Dk Tulia ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) amemtembelea mama huyo aliyelazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma kwa matibabu.
LAZIMA AMTEMBELEE HALIMA NA GENGE LAKE WAMEIFICHIA AIBU SERIKALI YA KUNYIMWA MISAADA NA WAFADHILI KWA BUNGE KUTOKUWA NA KAMBI YA UPINZANI BAADA YA MAGUFULI KUVURUGA UCHAGUZI 2020Siasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa.
---
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, leo Januari 31, 2024 amemtembelea na kumjulia hali, Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa mbunge wa viti maalumu, Halima Mdee.
Dk Tulia ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) amemtembelea mama huyo aliyelazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma kwa matibabu.
Hata Magufuli alisema Ataiua CHADEMA nadhani unajua NANI ALIKUFAMbunge wa CCM tena Spika kumtembelea mama wa mbunge viti maalum kupitia CHADEMA ni jambo la busara sana. Spika ana upendo hata kwa chama kinachokaribia kufa.
Huo mfano wako hauendani kabisa.... kifo ni cha kila mtu na sio adhabu. Hata CHADEMA wamezika baadhi ya wanachama wao.Hata Magufuli alisema Ataiua CHADEMA nadhani unajua NANI ALIKUFA
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
WaleberaliSema alipo halima kuna ester, au alipo mdee kuna bulaya.
Hayo mambo ndo makamu mwenyekiti wao anayapigania kuita ni faragha yasiingiliwe.
Was just being sarcastic 😅Mkuu, mi najitolea kuwa BFF wako 😄😄
Ni suala la muda tu Halima Mdee atajiunga rasmi na CCM na Taarifa fulani fulani nilizonazo ni kwamba kuna Uwaziri wa Wizara muhimu atateuliwa. Tunzeni hii post yangu tafadhali.Mara ya kwanza alitembelewa Wodini na Waziri Mkuu , Jana ametembelewa na Spika wa Bunge , leo ametembelewa na Rais .
Hii ni Bahati kubwa sana !
View attachment 2890779