Kwa kweli elimu ya Tanzania inakatisha tamaa sana. GPA haiwezi saidia mtu kuwa competent & Innovative maana mwanafunzi wanaweza kuwa na GPA kubwa lakini akawa na uwezo mdogo kwa mfano Mwanafunzi aliyepewa mtihani akapa GPA ya juu lakini hana hiyo competence!Kuna msemo ulikua una vuma sana vyuoni...."GPA does not matter" au "GPA sio issue, issue ni connection"!
Na misemo hii ilitumiwa sana na wale wasio penda kusoma japo walipenda sana kwenda clabu na kuangalia series!
Ulichoongelea wewe ni "uwezekano" lakini si kweli kwamba wenye GPA kubwa hana uwezo kikazi!Kwa kweli elimu ya Tanzania inakatisha tamaa sana. GPA haiwezi saidia mtu kuwa competent & Innovative maana mwanafunzi wanaweza kuwa na GPA kubwa lakini akawa na uwezo mdogo kwa mfano Mwanafunzi aliyepewa mtihani akapa GPA ya juu lakini hana hiyo competence!
Na kwa sbb hiyo watu wanapapatikia vyeti kwa nguvu zote na kwa gharama yoyote badala ya ujuzi/umahili!Tanzania tuna watu wanaobabaikia mavyeti kuliko ujuzi!
Ubaya ni kwamba, hata wenye vyeti hawaakisi umahiri unaostahili.
Tunababaika sana na makaratasi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hiyo GPA imepitia std za viwango linganishi na za yule aliyepata GPA ndogo hapo unaweza kuwa sawa kabisa, lakini kiukweli mazingira na viwango vinavyopelekea watu kutoka vyuo mbalimbali kupata matokeo husika havilingani.Ulichoongelea wewe ni "uwezekano" lakini si kweli kwamba wenye GPA kubwa hana uwezo kikazi!
Mimi sina tatizo kutumia GPA kma kipimo cha ufaulu ziko fair zaidi ya kutumia marks kwani zina angalia uzito wa somo kitu ambacho marks kwa kawaida haifanyi. Tatizo ninalo liona ni kwenye cut-off points za mtu kukubalika kazini. Degree ya kwanza mainly ni by course work hata wale wanaofanya special project hizi bado zinahesabiwa kama course work hivyo gpa ni kipimo kizuri. Sasa unapokuja Masters nafikiri iitakiwa kuwe na weighting ya Research component lakini uzito mkubwa inapewa GPA, actually mimi ningefuata system ya zamani kuangalia kama mtu amefaulu masters yake inatosha. Nimeshasikia GPA hizo zikipigwa randa ili zifanane na 4.0 vinginevyo mtu anarudishwa. Ukichukulia kuwa kuna masters by research amabazo hazina GPA inayo eleweka unaona shida iliyopo kutumia GPA kumbakiza mwalimu chuo. Naona huko tuendako sitashangaa kudaiwa GPA ya PhD.Ni ubinafs tu mkuu....ndo mana watu wanafake GPA.Nilikataliwa chuo kisa nimepata GPA 3.9 MA badala ya 4.0
Hadi sasa kwa uwelewa wangu hakuna classification ya hizi degree (inayowekwa kwenye lile gamba). Lakini for the purpose of graduate studies GPA ni index nzuri zaidi ya performance than marks peke yake. Problem ni kwenye kuamua criteria za kutumia.Tangu lini degree za human medicine na veterinary medicine zikawa classified, ukishahitimu kama daktari ni daktari tu hakuna mambo ya GPA, labda kwenye ungwini ndo wanafukuzana na GPA
Nina mdogo wangu ambaye kwa kweli ana sifa zote za kubaki pale Muhas lakini sababu ya ujinga huu yupo mtaani tu!
Olevel aliongoza masomo ya sayansi Tanzania nzima! Alevel pia alikuwa among the best student pale Ilboru! alipofika Muhas kajitahidi masomo yake amepata A na B+ ila kwa sbabu hakufikisha GPA ya 3.8 alipata kama 3.6 amekosa sifa hizo..ila kijana yuko vizuri sana kwenye Anatomy na mambo ya surgery mno.
Kwakweli wajiangalie upya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nasema, kama huyo mdogo wako kwa mfano, ana 'A' au 'B' ya Anatomy na amependa kuwa mkufunzi ktk somo hilo, basi atathminiwe kwa uwezo wake ktk somo husika badala ya kutafuta mara biostatistic/biochemistry alipataje! Maana ili upate cheti cha kumaliza udaktari lazima masomo yote upate sio chini ya C!Nina mdogo wangu ambaye kwa kweli ana sifa zote za kubaki pale Muhas lakini sababu ya ujinga huu yupo mtaani tu!
Olevel aliongoza masomo ya sayansi Tanzania nzima! Alevel pia alikuwa among the best student pale Ilboru! alipofika Muhas kajitahidi masomo yake amepata A na B+ ila kwa sbabu hakufikisha GPA ya 3.8 alipata kama 3.6 amekosa sifa hizo..ila kijana yuko vizuri sana kwenye Anatomy na mambo ya surgery mno.
Kwakweli wajiangalie upya
Sent using Jamii Forums mobile app
GPA inayo mazuri yake hata mimi sikatai, lakini kwa hili la kupata wakufunzi wa madaktari GPA imetuhujumu sana saana! Ndio maana nilisema na kumuunga mkono mkuu hapo juu alipochangia juu ya vetting kwa somo husika. Mtu anayekwenda somea Bachalor of art (major Kiswahili) kwa mfano, huyu wa kiswahili, akija na GPA ya 4 wala siwezi shangaa, maana mzigo wake hauwezi lingana na MD. Na akija amepanga A zake hapo na MD na makalayi yake bado naamini huyu wa MD mziki wake ni mzito zaidi.Hadi sasa kwa uwelewa wangu hakuna classification ya hizi degree (inayowekwa kwenye lile gamba). Lakini for the purpose of graduate studies GPA ni index nzuri zaidi ya performance than marks peke yake. Problem ni kwenye kuamua criteria za kutumia.
Mie nafikiri, kigezo cha GPA kwenye medical school kiangaliwenkwa upya!Yaani pale home MUHAS unaingia kipanga lakin wazee wanakuburuza unatoka na gpa kilaza japo skills tunazo.
Na kwa kuwa kibongo bongo kinacho matter ni vyeti basi product nyingi za muhas tuanonekana hatukidhi vigezo.
Wazee waache unaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
unajua ndio maana waafrica bado tupo nyuma sana, na tunaweza baki nyuma kwa miaka mingi ijayo tusipojitathmini na kuchua hatua. Huko majuu, wenzetu walioendelea mwanafunzi hahangaiki kulundikiwa mzigo wa masomo. Anaweza yeye kujichukulia vijisoma vyake vichache tu anakwendanavyo na kupata Ba, honor, MSc na PhD zinazong'wara. lakini sisi huku tunamlundikia mwanafunzi masomo lukuki tukimtaka afaulu yote, na mwishowe tunaweka cut-off GPA ya masomo yote hayo. Hii haiko sana. Ndio maana wabobezi wa kuingia 'deep' ktk fani zetu huku ni nadra sana. Unamkuta mtu anajua mambo mengi juu juu tu! Ndio maana tunakuwa wasindikizaji wa fumbuzi zinazotokea duniani!Mimi sina tatizo kutumia GPA kma kipimo cha ufaulu ziko fair zaidi ya kutumia marks kwani zina angalia uzito wa somo kitu ambacho marks kwa kawaida haifanyi. Tatizo ninalo liona ni kwenye cut-off points za mtu kukubalika kazini. Degree ya kwanza mainly ni by course work hata wale wanaofanya special project hizi bado zinahesabiwa kama course work hivyo gpa ni kipimo kizuri. Sasa unapokuja Masters nafikiri iitakiwa kuwe na weighting ya Research component lakini uzito mkubwa inapewa GPA, actually mimi ningefuata system ya zamani kuangalia kama mtu amefaulu masters yake inatosha. Nimeshasikia GPA hizo zikipigwa randa ili zifanane na 4.0 vinginevyo mtu anarudishwa. Ukichukulia kuwa kuna masters by research amabazo hazina GPA inayo eleweka unaona shida iliyopo kutumia GPA kumbakiza mwalimu chuo. Naona huko tuendako sitashangaa kudaiwa GPA ya PhD.