smartkitochi
Senior Member
- Nov 20, 2019
- 135
- 346
Mada nzuriii mno hii! .. nipo naendelea kufatilia mjadala huu mtamu !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Amna kitu hapo na hujajibu labda fani husika wenda huielewi wangapi tumeona na izo GPA nzuri toka nje hata ukimwambia pima hata bp achana kufanya evaluation ya mgonjwa kupata diagnosis na matibabu inakua ubabaishaji mtupuGPA haipimi mgonjwa ila GPA ni indication kwamba ulikua serious na masomo na kama ulikua serious na masomo basi utakua serious kwenye kupima/kutibu wagonjwa.
Jambo kama hili ndo huwatia ujinga hadi watoto wa siku hizi wanadharau elimuNina mdogo wangu ambaye kwa kweli ana sifa zote za kubaki pale Muhas lakini sababu ya ujinga huu yupo mtaani tu!
Olevel aliongoza masomo ya sayansi Tanzania nzima! Alevel pia alikuwa among the best student pale Ilboru! alipofika Muhas kajitahidi masomo yake amepata A na B+ ila kwa sbabu hakufikisha GPA ya 3.8 alipata kama 3.6 amekosa sifa hizo..ila kijana yuko vizuri sana kwenye Anatomy na mambo ya surgery mno.
Kwakweli wajiangalie upya
Sent using Jamii Forums mobile app
NA WALE WENYE AKilI KALI WASIOHITAJI KUWEKA MAJI KWENYE NDOO USIKU KUCHA WAO UTAWAWEKA WAPI? WANAKUWA SIO SERIOUS KWA MASOMO ILA WANAFAULU JE KWENYE MATIBABU WAKO SERIOUS? NI MAAHIRI KTK KUWATIBU WATU MAANA HAWANA CONCENTRATION KUBWA KWA WAGONJWA ZAIDI NI WAKUFUNZI MAAHIRI.GPA haipimi mgonjwa ila GPA ni indication kwamba ulikua serious na masomo na kama ulikua serious na masomo basi utakua serious kwenye kupima/kutibu wagonjwa.
Kwa kutafuta mwalimu wa kufundisha sociology afu unaanza kuangalia anatomy alipataje, na unamkomalia na kumnyima nafasi kwa kuwa anatomy alikuwa na C ili hali sociology ana 'B+' unamwita hafai, huu ni ujuha! atakapo kuja fundisha sociology, anatomy wala hataitumia kabisa, sasa kwa nini kumletea mazagazaga yasiohusika?NA WALE WENYE AKilI KALI WASIOHITAJI KUWEKA MAJI KWENYE NDOO USIKU KUCHA WAO UTAWAWEKA WAPI? WANAKUWA SIO SERIOUS KWA MASOMO ILA WANAFAULU JE KWENYE MATIBABU WAKO SERIOUS? NI MAAHIRI KTK KUWATIBU WATU MAANA HAWANA CONCENTRATION KUBWA KWA WAGONJWA ZAIDI NI WAKUFUNZI MAAHIRI.
Hapo kwenye red, hata hizo chache hazijajazwa, zipo wazi na vyuo vya udaktari vina'suffer'! Tafadhali usijaribu kujibu hoja hizi ukiwa umejifungia ndani bila kujua kilichopo ardhini/uhalisia! Tabia kama hizi ndizo zimeendelea kutugharimu kama taifa. Unatafuta majibu mepesi kwa mambo mazito!
Kama ww ni mchumi, si ujaze basi nafasi zilizopo kisha ufunge milango na madirisha. Kwani nani aliyekuambia kama unahitaji walimu watatu wa somo x ktk chuo M utalazimishwa uajiri walimu 10 kwa kuwa wote wanavigezo?
Mkuu Tanzania medical school elimu yake no ngum mno asikwambie MTU na kwa mawazo yako haya MWAFAAA