Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,919
- 2,843
- Thread starter
- #81
Fiziolojia,
Mie nafikiri ni upeo mfupi wa fikra za wanazuoni wanaopewa madaraka!
Mie nafikiri ni upeo mfupi wa fikra za wanazuoni wanaopewa madaraka!
Nafikiri ww ndio hujui unachosema maana hufahamu yanayoendelea ktk vyuo vyetu nchini! Pia naomba uwe 'specific' unaposema najichanganya…nionyeshe wapi unapofikiri nimejichanganya, usilete bra bra kwenye mambo yaliyo serious kiasi hiki. vinginevyo, endelea kuamini unavyoamini, utapokea mtu ana GPA kubwa lakini hamnazo, na kuwaacha wenye uwezo. 'Trainable' maana yake nini au ndio kukariri kwenyewe huko!Umenena vyema sana mkuu. Mtoa mada anajichanganya sehemu kadhaa kwenye comments zake ila kwa kifupi mtu mwenye GPA kubwa tunaamini pia ana uwezo mkubwa na pia yuko trainable. Kuna nchi moja ya ulaya ni lazima ufaulu IQ test ili usomee udaktari. So kipimo sahihi kitabaki kuwa GPA/ufaulu mzuri na si vinginevyo.
Mimi ni mwanazuoni na ninaongea ninachokijua vizuri sana. Assume umetangaza nafasi za assistant lecturers katika chuo X, utatumia vigezo vipi kuwapata wawili tu unaowahitaji kati ya mamia ya wahitimu walioko mtaani. Mosi ni ufaulu (GPA) na hili ni kwa dunia nzima, pili ni interview ya short listed candidates.Nafikiri ww ndio hujui unachosema maana hufahamu yanayoendelea ktk vyuo vyetu nchini! Endelea kuamini unavyoamini, utapokea mtu ana GPA kubwa lakini hamnazo, na kuwaacha wenye uwezo. Trainable maana yake nini au ndio kukariri kwenyewe huko!
Huo ndo ukweli na Mimi nimefuatilia wengi waliopata GPA kubwa kwa msuli wao wenyewe hata kwenye kazi utendaji wao umetukuka na ni watu wa kujituma Sana.GPA haipimi mgonjwa ila GPA ni indication kwamba ulikua serious na masomo na kama ulikua serious na masomo basi utakua serious kwenye kupima/kutibu wagonjwa.
Mtu kuwa vizuri practically si ndo inaonyesha ni jinsi gani yupo deep kwenye hiyo fani..sasa GPA kubwa ya nini tena??FOCAL,
Mimi naunga mkono na nina washauri nyie mliopo huko vyuoni mshikilie hapo hapo, tena ikiwezekana ipandishwe kidogo.
Na mimi nikifungua kampuni yangu pamoja na mengine nitaangalia GPA kwanza then itafwata practical, kama huna GPA nzuri hata ukiwa vizuri kwenye practcal kwangu huna nafasi! Nataka mtu aliye vizuri kote sio useme unaweza practical tu.
Mkuu hili la GPA/ufaulu wa juu ni kwa wahadhiri wa vyuo vikuu sana sana na si muhimu kwa kada zingine na hilo nimelifafanua hapo kabla.Mtu kuwa vizuri practically si ndo inaonyesha ni jinsi gani yupo deep kwenye hiyo fani..sasa GPA kubwa ya nini tena??
Let's say daktari amefanya 10 successfull major sugery..wewe GPA kubwa unaitaka ili ikusaidie nini??
Mkuu nafikiri sababu ya mleta mada kutetea vigezo vya GPA ya 3.5 na si 3.8 ni kutokana na hali ya kubania na kukomoa iliyopo katika vyuo vyetu vikuu nchini especially kuanzia utungaji mpaka usahihishaji wa mitihani.
Na ndio maana akasema kwenye interview vijana waliosoma nje ya ncho wananyukwa vibaya sana na walisoma nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo vyuo vyetu havina standard yoyote wa muhas anapata gpA ndo wakati yule wa wa imtu ambaye anafundishwa na mwalim yule yule anakuwa na gpa kubwa
Sent from my iPhone using JamiiForums