Siasa za Beirut zinalipa Kama rival akisajiliwa je, ni sahihi kumpa Wizara ilokuwa ya Mpinzani wa Dr Mwezi huu? Au tungevuta vuta muda?

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Hapo beirut kimewaka!

Mmoja akaambiwa kwa kuwa umehusika na jambo fulan basi kaa pembeni sana tupange upya ka karatasi ka kulinda Beirut yetu wakati wa kuangaliana Tel aViv wakagundua mpalestina ambaye kaangukia mikono ya wayahudi, wakasema kwanza tutakupa nafasi ukasimamie kule ambako alitokea Mwaisapile ili tumalize nguvu wa Palestina!

Kwanza inabidi umsemevibaya Mahamoud Abbas

Basi ndo anasubiriwa kwenye ka mkeka ! Baada ya Jamaa mmoja kuachia kiti atapewa nafasi asimamie ukanda wa Gaza ili kuziba kiti cha alojiuzulu,

Tukanywe Kikombe sasa

Britanicca
 
Au ndo drama za ule mchito wa Bakokoo ya tanganyika
Kule nasikia wamechota halafu wanakanusha huo mchoto, yule waziri aliyewahi kuchunga ng'ombe, kakanusha.

Hivyo nadhani wanataka kufanya ka tred movie
.
.
.
Propagandist
 
Hapo beirut kimewaka!

Mmoja akaambiwa kwa kuwa umehusika na jambo fulan basi kaa pembeni sana tupange upya ka karatasi ka kulinda Beirut yetu wakati wa kuangaliana Tel aViv wakagundua mpalestina ambaye kaangukia mikono ya wayahudi, wakasema kwanza tutakupa nafasi ukasimamie kule ambako alitokea Mwaisapile ili tumalize nguvu wa Palestina!

Kwanza inabidi umsemevibaya Mahamoud Abbas

Basi ndo anasubiriwa kwenye ka mkeka ! Baada ya Jamaa mmoja kuachia kiti atapewa nafasi asimamie ukanda wa Gaza ili kuziba kiti cha alojiuzulu,

Tukanywe Kikombe sasa

Britanicca
Beirut ipo kwenye auto pilot kwasasa.
 
Kiukweli kuna vijana wangu nawaonaga sana pale CCM Mkoa Arusha muda mwingi itawaumiza kinyama. Vijana waingie kwenye siasa bila kuwaza teuzi itawasaidia kisaikolojia.
Haiwezekan vijana waingie kwenye siasa bila kuwaza uteuzi, siasa ni moja ya ajira is why wanajazana huko, isingekuwa shida hizi wala wasingehangaika na siasa
 
Back
Top Bottom