Siasa za Beirut zinalipa Kama rival akisajiliwa je, ni sahihi kumpa Wizara ilokuwa ya Mpinzani wa Dr Mwezi huu? Au tungevuta vuta muda?

Hapo beirut kimewaka!

Mmoja akaambiwa kwa kuwa umehusika na jambo fulan basi kaa pembeni sana tupange upya ka karatasi ka kulinda Beirut yetu wakati wa kuangaliana Tel aViv wakagundua mpalestina ambaye kaangukia mikono ya wayahudi, wakasema kwanza tutakupa nafasi ukasimamie kule ambako alitokea Mwaisapile ili tumalize nguvu wa Palestina!

Kwanza inabidi umsemevibaya Mahamoud Abbas

Basi ndo anasubiriwa kwenye ka mkeka ! Baada ya Jamaa mmoja kuachia kiti atapewa nafasi asimamie ukanda wa Gaza ili kuziba kiti cha alojiuzulu,

Tukanywe Kikombe sasa

Britanicca
Tumia akili!
 
Ukiangalia wanavyomhenyesha kama yupo JKT huku wakimpigisha interview za kuandikiwa, wakimbebesha mabango, hicho unachokiongea kinawezekana
 
Back
Top Bottom