britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kiukweli kuna vijana wangu nawaonaga sana pale CCM Mkoa Arusha muda mwingi itawaumiza kinyama. Vijana waingie kwenye siasa bila kuwaza teuzi itawasaidia kisaikolojia.Msigwa wa CHADEMA kuwekwa kwenye mkeka,hii itaumiza sana CCM asilia.
Masikio ya mkeka yawe Zanzibar kavuka jioni hiiiYajayo yanafurahisha.. ngoja tuone
Acha waumie wao kazi yao nikusifia tu hata kama yanayofanywa si sahii teuzi haziwahusu.Msigwa wa CHADEMA kuwekwa kwenye mkeka,hii itaumiza sana CCM asilia.
Anasafiri sana.. mchana alikua magogonì hapo. Ngoja tusubiri kesho usikuMasikio ya mkeka yawe Zanzibar kavuka jioni hiii
Beirut ipo kwenye auto pilot kwasasa.Hapo beirut kimewaka!
Mmoja akaambiwa kwa kuwa umehusika na jambo fulan basi kaa pembeni sana tupange upya ka karatasi ka kulinda Beirut yetu wakati wa kuangaliana Tel aViv wakagundua mpalestina ambaye kaangukia mikono ya wayahudi, wakasema kwanza tutakupa nafasi ukasimamie kule ambako alitokea Mwaisapile ili tumalize nguvu wa Palestina!
Kwanza inabidi umsemevibaya Mahamoud Abbas
Basi ndo anasubiriwa kwenye ka mkeka ! Baada ya Jamaa mmoja kuachia kiti atapewa nafasi asimamie ukanda wa Gaza ili kuziba kiti cha alojiuzulu,
Tukanywe Kikombe sasa
Britanicca
Haiwezekan vijana waingie kwenye siasa bila kuwaza uteuzi, siasa ni moja ya ajira is why wanajazana huko, isingekuwa shida hizi wala wasingehangaika na siasaKiukweli kuna vijana wangu nawaonaga sana pale CCM Mkoa Arusha muda mwingi itawaumiza kinyama. Vijana waingie kwenye siasa bila kuwaza teuzi itawasaidia kisaikolojia.
CCM ina mbinu 1000 za kushinda uchaguzi. Unazijua zote? Maana hata Katibu Mkuu anazozijua hazizidi tano!!?Msigwa wa CHADEMA kuwekwa kwenye mkeka,hii itaumiza sana CCM asilia.