Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
He's not insane, infact he's very smart
Nchi imekuwa ya watu wa hovyo sana! Mpk mwingine anatamka hadharani kuwa chadema wanatafuta hela ya kununua virusi vya mpox na ebola! Hivyo virusi vinatengenezwa maabara ya wapi na sh? Huyu ni mwehu TU! Na je WHO watatuelewa vipi kwa utaahira huu? Watasema tz inaongozwa na vichaa!Hivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi.
Ili kuirudisha nchi kwenye misingi na kuwarudisha vijana kwenye sense of life and minds …… REFORM NI LAZIMA NDUGU ZANGU.
REFORM YA constitutional ni LAZIMA…..otherwise in the next 10 years vijana wetu watapata tabu sana.
CCM cares only about how to remain in power and not otherwise, nchi imevurugika sana , na vijana wamepotoka na ku lose mind ili waweze ku survive …..
vijana hawaamini tena kwenye elimu na intelligence.
Kama tungekuwa na vijana wa hivi miaka ya 50 to 90s, tusingekuta hili taifa linaloharibiwa kwa sasa namna hii.
Vijana wa 50s to 90s walikuwa wanaakili snaa na hawakuwaga na elimu kubwa sana.
Naambiwa huyu Jamaa alisoma UDSM, kama hii ndio product ya UDSM….. then I am out
Changanya vivutio vyote vya utalii Tz sioni wakifikia huu utalii hapo saudia🤔
Mental Enslavement……Changanya vivutio vyote vya utalii Tz sioni wakifikia huu utalii hapo saudia🤔
Nimecheka kicheko kikuu aisee!! Ama hakika hawa vijana ni bure kabisaaaapigwe
Umenena jambo la msingi mnoMental Enslavement……
Bob sung about Emancipation
Honestly Saudia wanapiga hela sana.
Kule kila mtu anakazi just sababu ya hiyo Black Cubic
Kwa mwaka Saudia wanaingiza Mpunga zaid ya kombe la Dunia na UEFA combined
Richness is a mental playing
Tungeweza pia kuufanya Mlima kilimanjaro, Ziwa Tanganyika, Victoria na Serengeti kuwa ni Places for healing and spiritual transcendance beyond human capabilities.
Back in the days wazee wetu walikuwa na spiritual sacrifice na hayo maeneo kila mwisho wa mwaka.Tukaja kuambiwa ni uchawi. Ila hapo jamaa anashika jiwe jeudi all the way from poor country and he believes the stone has positive impact towards his Life . It is just a mind set ….. if you believe ……. Then It be
Gadafi alitaka kujenga Al kaaba yake pale Libya….. sema walimuua tu wazungu
Tangu lini chawa akawa na akili. Natamani apatikane rais wa kukemea na kupiga stop mapambio/uchawa. Taifa linaangamia. Hao ndiyo wasomi tulionao.Hivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi.
Ili kuirudisha nchi kwenye misingi na kuwarudisha vijana kwenye sense of life and minds …… REFORM NI LAZIMA NDUGU ZANGU.
REFORM YA constitutional ni LAZIMA…..otherwise in the next 10 years vijana wetu watapata tabu sana.
CCM cares only about how to remain in power and not otherwise, nchi imevurugika sana , na vijana wamepotoka na ku lose mind ili waweze ku survive …..
vijana hawaamini tena kwenye elimu na intelligence.
Kama tungekuwa na vijana wa hivi miaka ya 50 to 90s, tusingekuta hili taifa linaloharibiwa kwa sasa namna hii.
Vijana wa 50s to 90s walikuwa wanaakili snaa na hawakuwaga na elimu kubwa sana.
Naambiwa huyu Jamaa alisoma UDSM, kama hii ndio product ya UDSM….. then I am out
Mind setNje ya mada,ikiomba hivyo matatizo yanaisha au ni Sanaa
Vijana aina ya Mwijaku hawana mchango wowote kwa Taifa,huyu yuko tayari hata kulawitiwa ili mradi apewe hela.Nimecheka kicheko kikuu aisee!! Ama hakika hawa vijana ni bure kabisaaa
Atakuja, kwa kuwa umenena na kuaminiTangu lini chawa akawa na akili. Natamani apatikane rais wa kukemea na kupiga stop mapambio/uchawa. Taifa linaangamia. Hao ndiyo wasomi tulionao.
Mabasha wa Kenya wanamtamani sana jamaaNa ameumbika pia maeneo hayo
CCM DAIMA SAMIA MITANO TENAHivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi.
Ili kuirudisha nchi kwenye misingi na kuwarudisha vijana kwenye sense of life and minds …… REFORM NI LAZIMA NDUGU ZANGU.
REFORM YA constitutional ni LAZIMA…..otherwise in the next 10 years vijana wetu watapata tabu sana.
CCM cares only about how to remain in power and not otherwise, nchi imevurugika sana , na vijana wamepotoka na ku lose mind ili waweze ku survive …..
vijana hawaamini tena kwenye elimu na intelligence.
Kama tungekuwa na vijana wa hivi miaka ya 50 to 90s, tusingekuta hili taifa linaloharibiwa kwa sasa namna hii.
Vijana wa 50s to 90s walikuwa wanaakili snaa na hawakuwaga na elimu kubwa sana.
Naambiwa huyu Jamaa alisoma UDSM, kama hii ndio product ya UDSM….. then I am out
He was just doing his job.This man in the video is not 'insane', he knows exactly what he is doing.
Hapo CCM iko wapi, anamwombea Rais wake, anaiombea nchi yake. Pilipili usisozila zakuwashia nini, we pambana na nyumbu wenzio huko chadomo.Hivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi.
Ili kuirudisha nchi kwenye misingi na kuwarudisha vijana kwenye sense of life and minds …… REFORM NI LAZIMA NDUGU ZANGU.
REFORM YA constitutional ni LAZIMA…..otherwise in the next 10 years vijana wetu watapata tabu sana.
CCM cares only about how to remain in power and not otherwise, nchi imevurugika sana , na vijana wamepotoka na ku lose mind ili waweze ku survive …..
vijana hawaamini tena kwenye elimu na intelligence.
Kama tungekuwa na vijana wa hivi miaka ya 50 to 90s, tusingekuta hili taifa linaloharibiwa kwa sasa namna hii.
Vijana wa 50s to 90s walikuwa wanaakili snaa na hawakuwaga na elimu kubwa sana.
Naambiwa huyu Jamaa alisoma UDSM, kama hii ndio product ya UDSM….. then I am out
Wrong Choice of the Word SMART . You might be Right that he is not insane rather than a choice or Opportunitist or SurvivalHe's not insane, infact he's very smart
Vijana wa CCM wako wengi mnooo....Hivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi.