PreGE2025 Siasa za CCM ni za aibu, Vijana aina ya Mwijaku wamechagua kupotoka na ujinga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hapo CCM iko wapi, anamwombea Rais wake, anaiombea nchi yake. Pilipili usisozila zakuwashia nini, we pambana na nyumbu wenzio huko chadomo.
Kama anaongea na Rais wake ….. why Reforms waangamie

Umesikiliza au umekuwa na haraka ya kujibu and subjectivity .

Reform ndio itakayookoq maisha yake
 
Ndio....

Hoja za "reforms* ziangamie....

Kwa njia yoyote iwayo.....

Sisi tunailinda imani hii ya CCM ya watanzania kwa njia yoyote kwani tuna rejea ya nchi nyingi zilizoshindwa kusimama imara na leo ni zimekuwa KICHEKESHO duniani.....

Watu wamejaa kujiandikisha katika daftari la mpiga kura na wala hawana haja na huo UKASUKU wa kiitwacho "REFORM"....

#Imani ya CCM kwanza kwa njia yoyote iwayo!!
 
Vijana wa CCM wako wengi mnooo....

Haiwezekani kuhukumiwa UVCCM na CCM kwa kauli za mwanaCCM mmoja ambaye si msemaji wa UVCCM wala CCM....

Unafanya "generalizations" kwa rejea dhaifu zisizo na mantiki....

CCM inalinda imani yake kwa miaka 1000 ijayo nini hiyo miaka 10 kwa kigezo chako koko cha kijana mwenzetu.....

Katiba inatoa ruhusa ya HAKI ya raia kuzungumza na kusikilizwa ......

Nami nazungumza kuwa CCM imesheheni vijana critical thinkers ambao kamwe si wazungumzaji humu mitandaoni.......

Kalaghabaho!

#VijanaNaKijani!
Nioneshe Kijana ambae ni CRITICAL ndani ya CCM kwa sasa? Just point out

Unajua maana ya neno Critical ?

Hakuna kijana Critical anaeweza kuwa CCM ……. Just note that
 
Ndio....

Hoja za "reforms* ziangamie....

Kwa njia yoyote iwayo.....

Sisi tunailinda imani hii ya CCM ya watanzania kwa njia yoyote kwani tuna rejea ya nchi nyingi zilizoshindwa kusimama imara na leo ni zimekuwa KICHEKESHO duniani.....

Watu wamejaa kujiandikisha katika daftari la mpiga kura na wala hawana haja na huo UKASUKU wa kiitwacho "REFORM"....

#Imani ya CCM kwanza kwa njia yoyote iwayo!!
Sio Makosa
Yako. Makosa ya Mfumo wa Elimu

Very Unfortunate wanaosimamia Mifumo ya Elimu , watoto zao hawawasomeshi kwenye hiyo mifumo ya Elimu.

Uliza watoto wa Nyerere na viongozi wa miaka hiyo walisoma shule zipi ; ndio utajua wewe ni kijana wa hovyo, not even critical thinker
 
Nioneshe Kijana ambae ni CRITICAL ndani ya CCM kwa sasa? Just point out

Unajua maana ya neno Critical ?

Hakuna kijana Critical anaeweza kuwa CCM ……. Just note that
Blatant ad hominem....

Ulivyo mpogo wa MAMBO unadhani vijana wa CCM peke yao ni hao waongeaji mitandaoni na wanaonekana kutoa matamko hadharani....

Kalaghabaho na upogo wako wa mambo.......

#CCM imesheheni vijana vichwa!
 
Sio Makosa
Yako. Makosa ya Mfumo wa Elimu

Very Unfortunate wanaosimamia Mifumo ya Elimu , watoto zao hawawasomeshi kwenye hiyo mifumo ya Elimu.

Uliza watoto wa Nyerere na viongozi wa miaka hiyo walisoma shule zipi ; ndio utajua wewe ni kijana wa hovyo, not even critical thinker
Ulikimbilia uchaguzi BAVICHA baada ya maisha yako ya pale MUHAS ...kwa kudhani watanzania wanataka yale yaliyoasisiwa na kina Ulimboka....

Endelea kuchambisher vibibi vya kizungu....

Huku kwetu shwari tunalinda LEGACY ya CCM kwa gharama yoyote iwayo.....
 
Blatant ad hominem....

Ulivyo mpogo wa MAMBO unadhani vijana wa CCM peke yao ni hao waongeaji mitandaoni na wanaonekana kutoa matamko hadharani....

Kalaghabaho na upogo wako wa mambo.......

#CCM imesheheni vijana vichwa!
Argumentum ad Ridiculum
 
Ulikimbilia uchaguzi BAVICHA baada ya maisha yako ya pale MUHAS ...kwa kudhani watanzania wanataka yale yaliyoasisiwa na kina Ulimboka....

Endelea kuchambisher vibibi vya kizungu....

Huku kwetu shwari tunalinda LEGACY ya CCM kwa gharama yoyote iwayo.....
wrong Idea

Argumentum ad Ridiculum
 
Hivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi.

Ili kuirudisha nchi kwenye misingi na kuwarudisha vijana kwenye sense of life and minds …… REFORM NI LAZIMA NDUGU ZANGU.

REFORM YA constitutional ni LAZIMA…..otherwise in the next 10 years vijana wetu watapata tabu sana.

CCM cares only about how to remain in power and not otherwise, nchi imevurugika sana , na vijana wamepotoka na ku lose mind ili waweze ku survive …..

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

vijana hawaamini tena kwenye elimu na intelligence.

Kama tungekuwa na vijana wa hivi miaka ya 50 to 90s, tusingekuta hili taifa linaloharibiwa kwa sasa namna hii.

Vijana wa 50s to 90s walikuwa wanaakili snaa na hawakuwaga na elimu kubwa sana.

Naambiwa huyu Jamaa alisoma UDSM, kama hii ndio product ya UDSM….. then I am out
Hapa jamii forum si pa kumzungumzia kilaza kama mwijaku naomba tusijipotezee muda wetu.
 
Kichaa anaombea nchi kweli CCM mmetuharibia Taifa na kulifedhehesha.
 
Mti mbichi huponzwa na mikavu pori linapowaka Moto. Bahati nzuri Ni kwamba ile mikavu huteketea kabisa lkn mbichi pamoja na msukosuko still inabaki kuwa hai na kuchipuka inapopata maji.

Asikusumbue mwijaku Ni mti mkavu Yule.
 
Hivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi.

Ili kuirudisha nchi kwenye misingi na kuwarudisha vijana kwenye sense of life and minds …… REFORM NI LAZIMA NDUGU ZANGU.

REFORM YA constitutional ni LAZIMA…..otherwise in the next 10 years vijana wetu watapata tabu sana.

CCM cares only about how to remain in power and not otherwise, nchi imevurugika sana , na vijana wamepotoka na ku lose mind ili waweze ku survive …..

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

vijana hawaamini tena kwenye elimu na intelligence.

Kama tungekuwa na vijana wa hivi miaka ya 50 to 90s, tusingekuta hili taifa linaloharibiwa kwa sasa namna hii.

Vijana wa 50s to 90s walikuwa wanaakili snaa na hawakuwaga na elimu kubwa sana.

Naambiwa huyu Jamaa alisoma UDSM, kama hii ndio product ya UDSM….. then I am out
.
 
Attachments

  • downloadfile-21.jpg
    downloadfile-21.jpg
    180 KB · Views: 21
kosa kubwa lililopo , hawapokonywi baada ya kufanya ujinga , vyeti kama ujerumani
 
Back
Top Bottom