PreGE2025 Siasa za CCM ni za aibu, Vijana aina ya Mwijaku wamechagua kupotoka na ujinga

PreGE2025 Siasa za CCM ni za aibu, Vijana aina ya Mwijaku wamechagua kupotoka na ujinga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nchi inapoendekeza ushirikina na rushwa matokeo ake ndiyo haya sasa, wauza unga wanajua kujibana kwenye CCM
 
Wakina shehe Ponda wako kimya dini yao ikitumika kama condom...kweli kumepoa
 
Hivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi.

Ili kuirudisha nchi kwenye misingi na kuwarudisha vijana kwenye sense of life and minds …… REFORM NI LAZIMA NDUGU ZANGU.

REFORM YA constitutional ni LAZIMA…..otherwise in the next 10 years vijana wetu watapata tabu sana.

CCM cares only about how to remain in power and not otherwise, nchi imevurugika sana , na vijana wamepotoka na ku lose mind ili waweze ku survive …..

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

vijana hawaamini tena kwenye elimu na intelligence.

Kama tungekuwa na vijana wa hivi miaka ya 50 to 90s, tusingekuta hili taifa linaloharibiwa kwa sasa namna hii.

Vijana wa 50s to 90s walikuwa wanaakili snaa na hawakuwaga na elimu kubwa sana.

Naambiwa huyu Jamaa alisoma UDSM, kama hii ndio product ya UDSM….. then I am out
Anachofanya huyo mwehu ni ukosefu wa akili. Kwani akiwaombea ndugu zako na hiyo serikali inayomhonga pesa lazima afanye public? Ningemuona angalau ana akili kama angeiombea nchi yetu, lakini Samia, rafiki na ndugu zake inatuhusu nini?Huyu chawa hayupo sawa kichwani. Eti "No reform no election iombewe ife" ama kweli akili ni nywele kila mtu anazo zake. Hii nchi ni kama imekufa.
 
Wasalaam.
Nimeangalia hii clip imenisikitisha sana. Watu wanafikiri mungu Abadallah anachezewa tu.

 
Wasalaam.
Nimeangalia hii clip imenisikitisha sana. Watu wanafikiri mungu Abadallah anachezewa tu.
ni kweli watu hawewezi kuamini katika hizo sanamu za miungu unazosema.

watanzania walio wengi wanaamini katika Mungu katika ukweli pekee, sina hakika kama muamini ushirikina na sanamu atanielewa.

Ni Mungu pekee wa kuaminiwa na sio mungu. mungu ni kwajili ya washirikina na waabudu miungu wa masanamu 🐒
 
Ndio maana wenzake wamelivuta hapo lishuke linang'ang'ania tu
 
Wasalaam.
Nimeangalia hii clip imenisikitisha sana. Watu wanafikiri mungu Abadallah anachezewa tu.
Hii video inatangaza mwanzo wa mwisho wa ccm. Yale ambayo kwa kitambo tulidhani hayawezekani sasa yatenda kuwezekana. CCM haitachukua muongo mmoja kabla ya kuanguka...
 
Hivi video inatangaza mwanzo wa mwisho wa ccm. Yale ambayo kwa kitambo tulidhani hayaweszekani sasa yatenda kuwezekana. CCM haitachukua muongo mmoja kabla ya kuanguka...
Tatizo ni kuwaamini wasanii kama ndio kielelezo cha mafanikio yetu na marafiki wa kiongozi pamoja na wanasiasa wasio na maono ya nchi Bali ya binafsi
 
Ameunajisi Uislamu kwa kuleta mzaha sehemu takatifu ilitakiwa apigwe mawe hadi afie huko.huko
Nakuunga mkono kwamba kafanya upuuzi sehemu takatifu ambapo mtu anatakiwa kuwa makini na ibada badala ya kufanya comedy na maigizo na kupigwa picha.
Kwa HAKIKA kafanya upumbafu sana akiwa sehemu takatifu ila swala la KUPIGWA MAWE HADI KUFA hapo na wewe umeenda mbali sana.!
 
Back
Top Bottom