PreGE2025 Siasa za CCM ni za aibu, Vijana aina ya Mwijaku wamechagua kupotoka na ujinga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nje ya mada,ikiomba hivyo matatizo yanaisha au ni Sanaa
Ukiomba mambo ya msingi kuna nafasi kubwa ya Allaah kukubali maombi yako.
Ila ukiomba upumbavu kama alivyofanya huyo jamaa jua Allaah hana muda wa kushughulika na mambo ya upumbavu bali mambo yanaweza kuwa negative kwa kukumbwa na mabalaa ikiwa ni matokeo ya kufanya mzaha katika wakati na eneo lisilotakiwa kufanya mizaha.
 
This man in the video is not 'insane', he knows exactly what he is doing.
He is praying to his god to grant the needful, he therefore cannot be 'insane' for doing that; unless he is praying to an "insane" god.
 
Hivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi.

Ili kuirudisha nchi kwenye misingi na kuwarudisha vijana kwenye sense of life and minds …… REFORM NI LAZIMA NDUGU ZANGU.

REFORM YA constitutional ni LAZIMA…..otherwise in the next 10 years vijana wetu watapata tabu sana.

CCM cares only about how to remain in power and not otherwise, nchi imevurugika sana , na vijana wamepotoka na ku lose mind ili waweze ku survive …..

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

vijana hawaamini tena kwenye elimu na intelligence.

Kama tungekuwa na vijana wa hivi miaka ya 50 to 90s, tusingekuta hili taifa linaloharibiwa kwa sasa namna hii.

Vijana wa 50s to 90s walikuwa wanaakili snaa na hawakuwaga na elimu kubwa sana.

Naambiwa huyu Jamaa alisoma UDSM, kama hii ndio product ya UDSM….. then I am out
20250211_191743.jpg
 
Ukiomba mambo ya msingi kuna nafasi kubwa ya Allaah kukubali maombi yako.
Ila ukiomba upumbavu kama alivyofanya huyo jamaa jua Allaah hana muda wa kushughulika na mambo ya upumbavu bali mambo yanaweza kuwa negative kwa kukumbwa na mabalaa ikiwa ni matokeo ya kufanya mzaha katika wakati na eneo lisilotakiwa kufanya mizaha.
Mkuu utaamini vipikuwa alikuwa anafanya mzaha?
 
Namacho anageuza. Ndan yamiwan kuangalia kama camera man anamzingatia kumchuka yaan ye mwenyewe kama anachukulia hlo eneo syo takatifu ila nimichongo tuu ya wasaudia
 
Hivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi.

Ili kuirudisha nchi kwenye misingi na kuwarudisha vijana kwenye sense of life and minds …… REFORM NI LAZIMA NDUGU ZANGU.

REFORM YA constitutional ni LAZIMA…..otherwise in the next 10 years vijana wetu watapata tabu sana.

CCM cares only about how to remain in power and not otherwise, nchi imevurugika sana , na vijana wamepotoka na ku lose mind ili waweze ku survive …..

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

vijana hawaamini tena kwenye elimu na intelligence.

Kama tungekuwa na vijana wa hivi miaka ya 50 to 90s, tusingekuta hili taifa linaloharibiwa kwa sasa namna hii.

Vijana wa 50s to 90s walikuwa wanaakili snaa na hawakuwaga na elimu kubwa sana.

Naambiwa huyu Jamaa alisoma UDSM, kama hii ndio product ya UDSM….. then I am out
Uislamu unanajisiwa hadi Mahali Patakatifu sana kama Macca?

Hizi siasa waliomtuma Wameutweza uislam kwa kiwango cha juu sana.

Sidhani kama Yeye ma waliomtuma watabaki salama.

😅😅😅😅Shame on Them
 
Hivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi.

Ili kuirudisha nchi kwenye misingi na kuwarudisha vijana kwenye sense of life and minds …… REFORM NI LAZIMA NDUGU ZANGU.

REFORM YA constitutional ni LAZIMA…..otherwise in the next 10 years vijana wetu watapata tabu sana.

CCM cares only about how to remain in power and not otherwise, nchi imevurugika sana , na vijana wamepotoka na ku lose mind ili waweze ku survive …..

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

vijana hawaamini tena kwenye elimu na intelligence.

Kama tungekuwa na vijana wa hivi miaka ya 50 to 90s, tusingekuta hili taifa linaloharibiwa kwa sasa namna hii.

Vijana wa 50s to 90s walikuwa wanaakili snaa na hawakuwaga na elimu kubwa sana.

Naambiwa huyu Jamaa alisoma UDSM, kama hii ndio product ya UDSM….. then I am out
Maka siku hizi imekuwa uwanja za Ccm kufanyia siasa za mzaha?

Waislamu Waadilifu imekuwaje mnakalia kimya huu ufedhuli?
 
Italii na ibada
Hamna Ibada hapo bwana,ni utalii tu jamaa wameamua kutengeneza namna ya kupiga mpunga.

Inamaana maskini na wasioweza kwenda huko watakua na dhambi sababu hawajafanya Ibada.
 
Mwijaku Raia tokea Burundi si msomi halisia kwani weledi na uelewa wake ni ndogo sana, mwijabu atakuwa kasoma kiujanja janja kaiba mitihani au kununua vyeti hana Taaluma halisi kichwani
 
Back
Top Bottom