Siasa za chuki kwa Lissu kuwa Hai hazilisaidii Taifa

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Ingawa tunajua kwamba chuki dhidi ya Lissu inatokana zaidi na uwezo wake wa kijasiri wa kusema kile anachokiamini dhidi ya watawala, lakini pia wapo watu wanaomchukia Lissu kwa kuwa tu yupo hai hata baada ya jaribio la kutaka kumuua kufanyika.

Kuna watu kila wakimuona Lissu anatembea na kuendeleza harakati zake za kisiasa, ghafla wanapandwa na hasira na kuchefukwa na baadhi yao huanza kuporomosha matusi na laana kwa Lissu. Unashangaa ni kwa nini watu wachukie manusura aliyopata Lissu?

Ukiweka mkatale kwamba hawa watu hawakufurahia waliposikia Lissu kashambuliwa na yupo kwenye gema (Brink) la uvuli wa mauti, itashangaza sana. Wanaochukia leo hii kwa Lissu kuwa hai, ni wale walioshangilia siku aliposhambuliwa kwa risasi.

Mpaka leo bado wanajifaragua hadharani kwamba eti Lissu hakupigwa hizo risasi zinazosemwa kapigwa na tukio zima ni maigizo tu ya kuongeza umaarufu wa kisiasa kwa Lissu na CHADEMA. Na wakati mwingine husema kwamba ni Mbowe ndiye aliyetaka kumuua Lissu kwa kuwa eti Lissu anatishia uenyekiti Mbowe CHADEMA!!

Lakini pia labda chuki yao inakuja kwa kuwa mtu wao Kafa na Lissu aliyekusudiwa kuuawa ndiye yupo mitaani anadunda. ACHENI MUNGU AITWE MUNGU!!
 
Ingawa tunajua kwamba chuki dhidi ya Lissu inatokana zaidi na uwezo wake wa kijasiri wa kusema kile anachokiamini dhidi ya watawala, lakini pia wapo watu wanaomchukia Lissu kwa kuwa tu yupo hai hata baada ya jaribio la kutaka kumuu kufanyika.
johnthebaptist NA GENGE L LA MBOGAMBOGA TAKE NOTE OF THAT. MUNGU SI ATHUMANI, MUNGU HAONGWI, MUNGU ALIAMUA UGOMVI by Nape
 
Ingawa tunajua kwamba chuki dhidi ya Lissu inatokana zaidi na uwezo wake wa kijasiri wa kusema kile anachokiamini dhidi ya watawala, lakini pia wapo watu wanaomchukia Lissu kwa kuwa tu yupo hai hata baada ya jaribio la kutaka kumuu kufanyika...
Mungu ni Mwema siku zote, yaani Ibilisi yule muuaji kuondoka duniani bila hata tone moja la damu kumwagila ni jambo la kumshukuru sana Mungu.
 
johnthebaptist NA GENGE L LA MBOGAMBOGA TAKE NOTE OF THAT. MUNGU SI ATHUMANI, MUNGU HAONGWI, MUNGU ALIAMUA UGOMVI by Nape
Yupo ndugu Kiharusi a.k.a Stroke na jamaa mmoja kama amejichetua na inaonekana ni usajili mpya Lumumba buku saba, anaitwa ChoiceVariable hao wakiona neno Lissu mahali ni lazima wapagawe!!
 
Hapo Chadema kuna Wengi Wamekufa japo wanavaa suti na kutembea

Kifo kina maana pana yawezekana unayedhani kafa bado anaishi na kama unabisha waulize akina Halima James Mdee na wenzake Jeuri wanaitoa wapi ilhali Mahera na Ndugai wamewekwa pembeni

Kuna tofauti kubwa Kati ya Kurudi Mavumbini na " Baba mikononi mwako naiweka roho yangu"

Wahungilage!
 
Kuondoka kwa Mkuu wa uovu ilibidi iwe fundisho kwa waliobaki na waliokuwa wanatumwa kufanya uharibifu, duniani wote tunapita, Mungu ndio mwenye uamuzi wa maisha yetu, binadamu kutaka kujipa u-mungu ni chukizo kwa Mungu aliye juu.
 
Hapo Chadema kuna Wengi Wamekufa japo wanavaa suti na kutembea

Kifo kina maana pana yawezekana unayedhani kafa bado anaishi na kama unabisha waulize akina Halima James Mdee na wenzake Jeuri wanaitoa wapi ilhali Mahera na Ndugai wamewekwa pembeni

Kuna tofauti kubwa Kati ya Kurudi Mavumbini na " Baba mikononi mwako naiweka roho yangu"

Wahungilage!
Kufa ni kukata roho na kuzikwa mavumbini. Hiyo nadharia nyingine ni kujifariji tu. Jamaa yenu KAFA.
 
Kafa ndio hakuna aliyebisha

Hata Ndesamburo alikufa kimwili na Kiroho UKAWA ndio MWISHO wa Mkwewe na Mwanae hapo Ufipa st na hakumbukwi kwa lolote hata ile hisani ya kutoa kachumba ka Ofisi pale Kisutu Majamatini mmeshaisahau!
 
Hapo Chadema kuna Wengi Wamekufa japo wanavaa suti na kutembea

Kifo kina maana pana yawezekana unayedhani kafa bado anaishi na kama unabisha waulize akina Halima James Mdee na wenzake Jeuri wanaitoa wapi ilhali Mahera na Ndugai wamewekwa pembeni

Kuna tofauti kubwa Kati ya Kurudi Mavumbini na " Baba mikononi mwako naiweka roho yangu"

Wahungilage!
Bwashee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe uko vizuri kimisemo🫣🫣🫣
 
Ingawa tunajua kwamba chuki dhidi ya Lissu inatokana zaidi na uwezo wake wa kijasiri wa kusema kile anachokiamini dhidi ya watawala, lakini pia wapo watu wanaomchukia Lissu kwa kuwa tu yupo hai hata baada ya jaribio la kutaka kumuu kufanyika.

Kuna watu kila wakimuona Lissu anatembea na kuendeleza harakati zake za kisiasa, ghafla wanapandwa na hasira na kuchefukwa na baadhi yao huanza kuporomosha matusi na laana kwa Lissu. Unashangaa ni kwa nini watu wachukie manusura aliyopata Lissu?

Ukiweka mkatale kwamba hawa watu hawakufurahia waliposikia Lissu kashambuliwa na yupo kwenye gema (Brink) la uvuli wa mauti, itashangaza sana. Wanaochukia leo hii kwa Lissu kuwa hai, ni wale walioshangilia siku aliposhambuliwa kwa risasi.

Mpaka leo bado wanajifaraguaa hadharani kwamba eti Lissu hakupigwa hizo risasi zinazosemwa kapigwa na tukio zima ni maigizo tu ya kuongeza umaarufu wa kisiasa kwa Lissu na CHADEMA. Na wakati mwingine husema kwamba ni Mbowe ndiye aliyetaka kumuua Lissu kwa kuwa eti Lissu anatishia uenyekiti Mbowe CHADEMA!!

Lakini pia labda chuki yao inakuja kwa kuwa mtu wao Kafa na Lissu aliyekusudiwa kuuawa ndiye yupo mitaani anadunda. ACHENI MUNGU AITWE MUNGU!!
Mungu ndiye anajua akiba ya siku za mtu hapa duniani. Waliotaka kumuua wameishatangulia kaburini lakini Lissu bado anakula ugali. Mungu hadhihskiwi. Long live Lissu.
 
Ingawa tunajua kwamba chuki dhidi ya Lissu inatokana zaidi na uwezo wake wa kijasiri wa kusema kile anachokiamini dhidi ya watawala, lakini pia wapo watu wanaomchukia Lissu kwa kuwa tu yupo hai hata baada ya jaribio la kutaka kumuu kufanyika.

Kuna watu kila wakimuona Lissu anatembea na kuendeleza harakati zake za kisiasa, ghafla wanapandwa na hasira na kuchefukwa na baadhi yao huanza kuporomosha matusi na laana kwa Lissu. Unashangaa ni kwa nini watu wachukie manusura aliyopata Lissu?

Ukiweka mkatale kwamba hawa watu hawakufurahia waliposikia Lissu kashambuliwa na yupo kwenye gema (Brink) la uvuli wa mauti, itashangaza sana. Wanaochukia leo hii kwa Lissu kuwa hai, ni wale walioshangilia siku aliposhambuliwa kwa risasi.

Mpaka leo bado wanajifaraguaa hadharani kwamba eti Lissu hakupigwa hizo risasi zinazosemwa kapigwa na tukio zima ni maigizo tu ya kuongeza umaarufu wa kisiasa kwa Lissu na CHADEMA. Na wakati mwingine husema kwamba ni Mbowe ndiye aliyetaka kumuua Lissu kwa kuwa eti Lissu anatishia uenyekiti Mbowe CHADEMA!!

Lakini pia labda chuki yao inakuja kwa kuwa mtu wao Kafa na Lissu aliyekusudiwa kuuawa ndiye yupo mitaani anadunda. ACHENI MUNGU AITWE MUNGU!!
Kila mtu atakufa. Hakika tutakufa.

Sasa wacha kujimwambafai kihiivyo.

Tunamchukia Lissu kwa kufika hapo alipo bila kutuonesha mchango wake kwa taifa hilo.. yaani akifa leo ni kama kimepita kivuli..tutamsahau daima.

Tunamchukia pia kwa kuamua kutumika, kuharibu dila yetu ya maendeleo.

Kujua kuongea kwake hakuja wahi leta neema kwa taifa hili isipokuwa umaarufu wake tu.
 
Back
Top Bottom