Siasa za Kenya zinabebwa na Wakenya na sio viongozi wa Upinzani, Tanzania hilo hatuwezi, Lissu hawezi ingia barabarani mwenyewe

Siasa za Kenya zinabebwa na Wakenya na sio viongozi wa Upinzani, Tanzania hilo hatuwezi, Lissu hawezi ingia barabarani mwenyewe

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Watu wanao taka Lisu awe Kiongozi ni kwa kutaka awaandamaie wao wenyewe wakiwa wamekaa kwenye Tv.

Kenya kinacho wafabya wakina Raila Odinga na wengineo watambe ni Raia wa Kenya.

Wakenya hata usiku wa manane ukwaamusha ukawaambia tuingie Barabarani wanaingia. Mikutano ya hadhara Kenya haihitaji matangazo. Hilo tunaweza?

Raila Oding si kwamba ni kiongozi mzuri sana Kenya sema tu ana enjoy ujasiri wa Wakenya.

Tanzania hilo halipo tunangoja watu ndio watuandamanie, Siasa za ki una harakati ni ngumu sana Tanzania kwa sababu sisi ni waoga kama kondoo.

Sasa kwa sababu ya uoga wetu tumebakiwa kujificha kwenye vivuli vya watu au mtu mmoja mmoja.

Ndio maana Kenya hakuna anaye hanagika na uongozi uwe wa Raila, wala Kalonzo wala Mudavadi ni Tanzania ty tunakomaa na watu kuficha madhaifu yetu.

Hatuwezi siasa za harakati kama Kenya bora pia hata Uganda wanaweza, Tanzania hatuwezi.
 
Deep down behind the darks Tanzania hakuna siasa wala vyama vya siasa.
 
Back
Top Bottom