Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Ni hali ya kawaida kumantain status kwenye siasa ya kimataifa kuwa taifa lenu linazingatia misingi ya vyama vingi ni lazima chama tawala kiwe na vyama kinavyovilea kama vyama vya upinzani. Hii itaonyesha kuwa kweli multiparty system ina prevail.
Ndivyo vyama vingi vya siasa hapa Tanzania vililelewa na CCM ili vionekane ni wapinzani na kumbe vingi vilikuwa na vinasaba na CCM. Kwa hali hii CHADEMA walijisahau na kupata kiburi wakadhania wanaweza kukamata dola.
Wakajisahau na kujiona ni wababe wa kisiasa. Wakawa na makundi kama red brigage. Wakaanzisha operation Sangara wakidai nchi haitawalika miaka ya utawala wa Jakaya. Kiburi cha kisiasa kikawa kikubwa.
Wakadhania kila jambo ambalo linauvunjifu wa kisheria linaweza kuwapatia matokeo chanya ya kisiasa.
CCM ikaona kumbe siasa za kishakaji zimezaa madhara ikawatosa Chadema. Sasa mambo ni moto.
My take: CCM ni chama kilichokita mizizi ya kisiasa, kukig'oa sio rahisi kama mnavyodhania.