Siasa za kishikaji ziliwafanya CHADEMA wakajisahau sana

Siasa za kishikaji ziliwafanya CHADEMA wakajisahau sana

Hakuna kidumucho milele isipokuwa Mungu pekee. Iko siku CCM itatoka hamtoamini. Sithani kama tuna miaka 1p mbele!
 
Hawa viongoz wanaokwapua mali za umma kisha wanapeta tu,unadhan nn tatizo?????
Katiba inawezaje kusaidia wananchi kupata maji, bima ya afya, ufafanuzi tafadhali, mimi nachoona, ni kama unalazimisha upande fulani ushike dola kwa kutumia hisia zako.

Tatizo la Watanzania wanapenda kuyaona mambo mazuri bila kuyafanyia kazi, Katiba sio suluhisho la kuuondoa umasikini bali maslahi ya Wachache wanaotaka kushika dola.
 
Ccm imeshindwa kufanya chochote zaidi ya 60yrs.

Imewatia umasikini tu watanzania
Mbowe, Lema, Lisu, Msigwa, na wengineo ni matajiri chini ya hii hii ccm.
Wewe unakwama wapi?
 
CCM haiwezi kung'olewa na chama aina ya Chadema ambacho kimeweka mbele masilahi ya viongozi wake, kuliko wanachama wake na watanzania kwa ujumla. Fikiria mtu kama Lisu jimbo tu limemshinda, sasa ataiwezaje nchi?
umeona eeh, kazi yao kubwa ni kufukuzana na kukanyagana wenyewe kwa wenewe, tupa kule nazichadema
 
Ukweli ni kwamba ccm haipendwi na wananchi walio wengi, wenye kuipenda na kuipa kura ni wale wanaonufaika moja kwa moja na uwepo wake madarakani
 
Back
Top Bottom