Katiba inawezaje kusaidia wananchi kupata maji, bima ya afya, ufafanuzi tafadhali, mimi nachoona, ni kama unalazimisha upande fulani ushike dola kwa kutumia hisia zako.Watu wenye akili kama zako ndiyo mnazidisha umasikini kwa watanzania.
Miaka 60 ya uhuru wananchi bado hawana uhakika wa kupata maji safi.Katiba inawezaje kusaidia wananchi kupata maji, bima ya afya, ufafanuzi tafadhali, mimi nachoona, ni kama unalazimisha upande fulani ushike dola kwa kutumia hisia zako. Tatizo la Watanzania wanapenda kuyaona mambo mazuri bila kuyafanyia kazi, Katiba sio suluhisho la kuuondoa umasikini bali maslahi ya Wachache wanaotaka kushika dola.
Sasa nini kifanyike, kama ni weweMiaka 60 ya uhuru wananchi bado hawana uhakika wa kupata maji safi.
Katiba ndiyo muarobaini wa huo uozo uliopoSasa nini kifanyike, kama ni wewe
Yaan wafanyeje, usiseme tu mabadiliko ya katiba kwa sababu watu flani flani waongelea hilo, labda tuanziw kwako Mmawia uliisoma katiba iliyopendekezwa na Tume ya Jaji Warioba?Katiba ndiyo muarobaini wa huo uozo uliopo
Ili ukusaidie nini wewe chumia tumbo wa koromitje na lumumba?Yaan wafanyeje, usiseme tu mabadiliko ya katiba kwa sababu watu flani flani waongelea hilo, labda tuanziw kwako Mmawia uliisoma katiba iliyopendekezwa na Tume ya Jaji Warioba?
Tupe japo machache wafanye nini na nini kwenye katiba unayoihitaji wewe na wale.
Tuliza mshono basi dadaManka Acha jazba
Tuseme hauna hoja,, utakuwa ni mshabiki wa katiba sio wenye kuhitaji mabadiliko halali, Hii inadhihirisha wazi kabisa WaTz wengi mnaburuzwa tu, wakati hamna uelewa wa kinachozungumziwa, Katiba Sio NBC premier League.Ili ukusaidie nini wewe chumia tumbo wa koromitje na lumumba?
Kahangaike na mazuzu wenzakoTuseme hauna hoja,, utakuwa ni mshabiki wa katiba sio wenye kuhitaji mabadiliko halali, Hii inadhihirisha wazi kabisa WaTz wengi mnaburuzwa tu, wakati hamna uelewa wa kinachozungumziwa, Katiba Sio NBC premier League.
[emoji3][emoji3] huu mchezo hauhitaji hasira kijanahh, Acha ushabiki.Kahangaike na mazuzu wenzako
Ni hali ya kawaida kumantain status kwenye siasa ya kimataifa kuwa taifa lenu linazingatia misingi ya vyama vingi ni lazima chama tawala kiwe na vyama kinavyovilea kama vyama vya upinzani. Hii itaonyesha kuwa kweli multiparty system ina prevail.
Ndivyo vyama vingi vya siasa hapa Tanzania vililelewa na CCM ili vionekane ni wapinzani na kumbe vingi vilikuwa na vinasaba na CCM. Kwa hali hii CHADEMA walijisahau na kupata kiburi wakadhania wanaweza kukamata dola.
Wakajisahau na kujiona ni wababe wa kisiasa. Wakawa na makundi kama red brigage. Wakaanzisha operation Sangara wakidai nchi haitawalika miaka ya utawala wa Jakaya. Kiburi cha kisiasa kikawa kikubwa.
Wakadhania kila jambo ambalo linauvunjifu wa kisheria linaweza kuwapatia matokeo chanya ya kisiasa.
CCM ikaona kumbe siasa za kishakaji zimezaa madhara ikawatosa Chadema. Sasa mambo ni moto.
My take: CCM ni chama kilichokita mizizi ya kisiasa, kukig'oa sio rahisi kama mnavyodhania.
Hii ndiyo kazi unayo iwezasasa mtu unamuuliza nini kirekebishwe anaanza kurap, Anatakiwa hata afunguliwe mashtaka kwa kuupotosha Umma.
"Maendeleo hayana chama."
DuuuuuuCCM ni Chama Makini sana wameona walikosea kumpa Dicteta wakamuondoa Kimya kimya
Kwani tulikuwa tunazungumzia vyama au Katiba, Jiandae na chuo Kijana, hizi mambo achana nazo.Hii ndiyo kazi unayo iwezaView attachment 1966261
Ukweli anaujua huyu mpuuziSawa mwana CCM kama ubavu mnao wekeni tume huru ya uchaguzi na katiba mpya muone mnavyotoka