Ccm wanaiogopa katiba mpya kuliko coronaSawa mwana CCM kama ubavu mnao wekeni tume huru ya uchaguzi na katiba mpya muone mnavyotoka
Miaka 60 ya uhuru lkn mlichoweza ni kuwatia umasikini tuCCM haiwezi kung'olewa na chama aina ya Chadema ambacho kimeweka mbele masilahi ya viongozi wake, kuliko wanachama wake na watanzania kwa ujumla. Fikiria mtu kama Lisu jimbo tu limemshinda, sasa ataiwezaje nchi?
Ccm imeshindwa kufanya chochote zaidi ya 60yrs.CCM haiwezi kung'olewa na chama aina ya Chadema ambacho kimeweka mbele masilahi ya viongozi wake, kuliko wanachama wake na watanzania kwa ujumla. Fikiria mtu kama Lisu jimbo tu limemshinda, sasa ataiwezaje nchi?
Umeamua kulalama?!!!Miaka 60 ya uhuru lkn mlichoweza ni kuwatia umasikini tu
Watu wenye akili kama zako ndiyo mnazidisha umasikini kwa watanzania.Umeamua kulalama?!!!
Hivi inakuwaje umaskini unaongezeka ilihali maisha yanaendelea kuboreshwa kwa haya yafuatayo...
Kwani hiyo iliyopo ni mbovu Sana?Ccm wanaiogopa katiba mpya kuliko corona
Argumentum ad hominem....Watu wenye akili kama zako ndiyo mnazidisha umasikini kwa watanzania.
Endelea na kazi yako hii ndiyo inayo kufaaKwani hiyo iliyopo ni mbovu Sana?!!
Kwani hiyo iliyopo IMESIMAMIWA VYEMA kuturidhisha?...
Lazima mtatapika tuHakuna shida na katiba mpya ya KAZI gani
Una akili za kuvukia barabara tuWewe ni Sawa na Yule mwenye uzi humu jf anasema anamchukia BABA yake
Corona inatisha sanaKwani hiyo iliyopo ni mbovu Sana?!!
Kwani hiyo iliyopo IMESIMAMIWA VYEMA kuturidhisha?...
Imeua wengi tu mkuu....Corona inatisha sana
Sawa endelea kuwa msukure wa mh.Mbowe....huku mwenzenu akiwathubutisha wanawe kiuchumi huko SA,UK na DUBAI......Endelea na kazi yako hii ndiyo inayo kufaaView attachment 1965954
Umezungukwa na upupuNani Leo hii anae tapika chadomo au CCM ni chadema manka
🤣🤣Kweli mkuu...Huyu hajielewi anafikiri MTU kujitanabaisha mpinzani ni kupinga kila kitu halafu siku zote MTU anaependa Sana kusema wewe huna akili kwenye comments zake amini nakuambia wanakuwa ni watu wenye matatizo ya akili