Siasa za kishikaji ziliwafanya CHADEMA wakajisahau sana

Kile si chama cha siasa!! ni dola... Kama unabisha muulize Membe yaliyomkuta alivyotoka Dubai kwa mbwembwe .

Na ndiyo maana tunapigania katiba mpya...ili dola iwe kando na vyama vya siasa viwe kando...
 
Watu wenye akili kama zako ndiyo mnazidisha umasikini kwa watanzania.
Katiba inawezaje kusaidia wananchi kupata maji, bima ya afya, ufafanuzi tafadhali, mimi nachoona, ni kama unalazimisha upande fulani ushike dola kwa kutumia hisia zako.

Tatizo la Watanzania wanapenda kuyaona mambo mazuri bila kuyafanyia kazi, Katiba sio suluhisho la kuuondoa umasikini bali maslahi ya Wachache wanaotaka kushika dola.
 
Miaka 60 ya uhuru wananchi bado hawana uhakika wa kupata maji safi.
 
Katiba ndiyo muarobaini wa huo uozo uliopo
Yaan wafanyeje, usiseme tu mabadiliko ya katiba kwa sababu watu flani flani waongelea hilo, labda tuanziw kwako Mmawia uliisoma katiba iliyopendekezwa na Tume ya Jaji Warioba?
Tupe japo machache wafanye nini na nini kwenye katiba unayoihitaji wewe na wale.
 
Ili ukusaidie nini wewe chumia tumbo wa koromitje na lumumba?
 
Ili ukusaidie nini wewe chumia tumbo wa koromitje na lumumba?
Tuseme hauna hoja,, utakuwa ni mshabiki wa katiba sio wenye kuhitaji mabadiliko halali, Hii inadhihirisha wazi kabisa WaTz wengi mnaburuzwa tu, wakati hamna uelewa wa kinachozungumziwa, Katiba Sio NBC premier League.
 
Tuseme hauna hoja,, utakuwa ni mshabiki wa katiba sio wenye kuhitaji mabadiliko halali, Hii inadhihirisha wazi kabisa WaTz wengi mnaburuzwa tu, wakati hamna uelewa wa kinachozungumziwa, Katiba Sio NBC premier League.
Kahangaike na mazuzu wenzako
 
CCM ni Chama Makini sana wameona walikosea kumpa Dicteta wakamuondoa Kimya kimya
 

chadema ni takataka kabisa!!!!! wanajua kila kitu, wana majibu, yote, wana imani na matumaini yote, wanabisha kila kitu, HAWAFANIKISHI KITU

WASHAISHA
 
sasa mtu unamuuliza nini kirekebishwe anaanza kurap, Anatakiwa hata afunguliwe mashtaka kwa kuupotosha Umma.
"Maendeleo hayana chama."
Hii ndiyo kazi unayo iweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…