Sasa kila mtu akichaguliwa na Kanda yake nchi si itamegeuka vipande kila mtu ajitenge na watu wake, tutafika kweli, siasa za kikabila Ni za majitaka.Nyerere:"Hatumchagui mtu kuwa Rais kwa kabila lake wala dini yake"!
Magufuli:"Nichagueni mimi msukuma mwenzenu,mtoto wa nyumbani"
Kuweni serious na mtakeni radhi Nyerere
Pity votes zinataftwa kwa nguvu sanaHizi Ni dalili za kutaka kura za huruma baada ya kukosa hoja...
Dalili za kutugawa watz Ni hizo za ukabila na udini...
Wanasubiri wapelekewe malalamiko ndani ya masaa 72 baada ya kuona uvunjaji wa kanuni za uchaguzi. Yaani wao hawawezi kuona uvunjaji wa kanuni na kukemea mpaka wapelekewe malalamiko.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]TUME YA UCHAGUZI Ipo kimya Utadhani Haisikii Ila Tanzania
Hapana, mwacheni Mwalimu apumzike kwa amani.Siasa za ukabila na udini Ni hatari, maskini Tanzania yangu kwahyo akitoka magufuli akiingia mwingine aendeleze ukabila,maana Sasa hivi idara zote wamejazwa kabila moja tu, I wish Nyerere angefufuka, tu some Hali iliyo, Rwanda waliuana kisa ukabila, sipendi watu wanaotumia ukabila ili kupata favors very shame
Kuhusu matumizi ya Kisukuma kwa kanda ya magharibi:
Tatizo kubwa lipo kwenye eneo husika, unaweza kutoka Shelui Singida zaidi ya kilomita 450 kwenda Bunda, na zaidi ya kilomita 750 na kutoka Simiyu mpaka Mpanda unaongea kisukuma tuu na ukafanya karibu shuguli zote za kijamii.
Kama hautaki kuwa na masiliano na jamii zingine chache zinazo kuzunguruka ambazo huongea lugha nyingine na sio Kisukuma, lugha ya kiswahili hautoijua.
Kinacho endelea sasa hivi ni lugha nyingine ndogo ndogo zimemezwa na zinaendelea kupotea.
Sasa hivi Kisukuma ni lugha inayotumika na idadi kubwa ya wakazi wa kanda ya magharibi na wengine sio Wasukuma kabisa ili waweze kuwa na mawasiliano na wazungumzaji.
Na kuna maeneo inatumika kama lugha ya kwanza na sio kiswahili kwa baadi ya wakazi wa Magharibi mwa Tanzania. Na wageni kutoka maeneo mbali mbali hasa wafanya biashara bila Kisukuma katika hayo maeneo biashara yake haito kwenda vizuri, sababu atashindwa kuwasiliana na wateja.
Na mbaya zaidi wenzetu hawataki kujifundisha lugha nyingine mbali na Kisukuma.
Ila bora wasukuma kuliko hao watu wa kwenu huko! Wana uroho wa madaraka na ubinafsi uliokithiri kuanzia ngazi ya kijamii achilia mbali huko siasani!Siasa za ukabila na udini Ni hatari, maskini Tanzania yangu kwahyo akitoka magufuli akiingia mwingine aendeleze ukabila,maana Sasa hivi idara zote wamejazwa kabila moja tu, I wish Nyerere angefufuka, tu some Hali iliyo, Rwanda waliuana kisa ukabila, sipendi watu wanaotumia ukabila ili kupata favors very shame
Kwa mwananchi wa kawaida kijijini ni haki yake na siyo kosa kuwasiliana kwa lugha yake ya raha. Inatakiwa iwe hivyo. Tatizo ni mtu ktk nafasi ya kitaifa au hawa waibaji wanaowaimbia wananchi wa nchi kumuombea kura mgombea. Tukumbuke, karatasi ya kupigia kura itakuwa kwa kiswahili, kwani hawataielewa?Kuhusu matumizi ya Kisukuma kwa kanda ya magharibi:
Tatizo kubwa lipo kwenye eneo husika, unaweza kutoka Shelui Singida zaidi ya kilomita 450 kwenda Bunda, na zaidi ya kilomita 750 na kutoka Simiyu mpaka Mpanda unaongea kisukuma tuu na ukafanya karibu shuguli zote za kijamii.
Kama hautaki kuwa na masiliano na jamii zingine chache zinazo kuzunguruka ambazo huongea lugha nyingine na sio Kisukuma, lugha ya kiswahili hautoijua.
Kinacho endelea sasa hivi ni lugha nyingine ndogo ndogo zimemezwa na zinaendelea kupotea.
Sasa hivi Kisukuma ni lugha inayotumika na idadi kubwa ya wakazi wa kanda ya magharibi na wengine sio Wasukuma kabisa ili waweze kuwa na mawasiliano na wazungumzaji.
Na kuna maeneo inatumika kama lugha ya kwanza na sio kiswahili kwa baadi ya wakazi wa Magharibi mwa Tanzania. Na wageni kutoka maeneo mbali mbali hasa wafanya biashara bila Kisukuma katika hayo maeneo biashara yake haito kwenda vizuri, sababu atashindwa kuwasiliana na wateja.
Na mbaya zaidi wenzetu hawataki kujifundisha lugha nyingine mbali na Kisukuma.
Mwaka 2004 nilienda Ujerumani, Nilishangaa kukuta wasukuma kule na wanapiga Lugha Lao kama kawaida! Sembuse mahali walikozaliwa!Kuhusu matumizi ya Kisukuma kwa kanda ya magharibi:
Tatizo kubwa lipo kwenye eneo husika, unaweza kutoka Shelui Singida zaidi ya kilomita 450 kwenda Bunda, na zaidi ya kilomita 750 na kutoka Simiyu mpaka Mpanda unaongea kisukuma tuu na ukafanya karibu shuguli zote za kijamii.
Kama hautaki kuwa na masiliano na jamii zingine chache zinazo kuzunguruka ambazo huongea lugha nyingine na sio Kisukuma, lugha ya kiswahili hautoijua.
Kinacho endelea sasa hivi ni lugha nyingine ndogo ndogo zimemezwa na zinaendelea kupotea.
Sasa hivi Kisukuma ni lugha inayotumika na idadi kubwa ya wakazi wa kanda ya magharibi na wengine sio Wasukuma kabisa ili waweze kuwa na mawasiliano na wazungumzaji.
Na kuna maeneo inatumika kama lugha ya kwanza na sio kiswahili kwa baadi ya wakazi wa Magharibi mwa Tanzania. Na wageni kutoka maeneo mbali mbali hasa wafanya biashara bila Kisukuma katika hayo maeneo biashara yake haito kwenda vizuri, umausababu atashindwa kuwasiliana na wateja.
Na mbaya zaidi wenzetu hawataki kujifundisha lugha nyingine mbali na Kisukuma.
Tatizo ni kubwa na linaendelea kukua mpaka watawala wafanye deliberate efforts za kutokomeza matumizi ya lugha hii ni sio kitu rahisi sana kijamii.Mkuu point yako hasa ni ipi?