Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,495
- 1,803
Kwa mwananchi wa kawaida kijijini ni haki yake na siyo kosa kuwasiliana kwa lugha yake ya raha. Inatakiwa iwe hivyo. Tatizo ni mtu ktk nafasi ya kitaifa au hawa waibaji wanaowaimbia wananchi wa nchi kumuombea kura mgombea. Tukumbuke, karatasi ya kupigia kura itakuwa kwa kiswahili, kwani hawataielewa?
Sisi ndio wenye taabu, wenzetu CCM wanawaelekezaji maalumu chumba cha kupiga kura, na kanda hiyo kwa kawaida wanakuwa wengi.