Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Mwaka 2004 nilienda Ujerumani, Nilishangaa kukuta wasukuma kule na wanapiga Lugha Lao kama kawaida! Sembuse mahali walikozaliwa!
Ingawa sio vema kuendekeza mi Lugha asili kwenye mambo ya kitaifa, lakini tusiwe na nongwa watu wakikutana wakaanza kuchapa Lugha zao za Asili, Nawapenda Waha hawaogopi kupiga Lugha Yao mahali popote pale
Hiyo ni hoja mfu kabisa...!!
Tanzania tuna AMANI kwa vile tumeunganishwa na LUGHA MOJA YA KISWAHILI.....!!!
Kutetea kuomba Kura kwa KISUKUMA NI UHUNI na Ni kuonesha jinsi MAGUFULI ALIVO MTUPU KICHWANI.....!!!
Yamkini ndo maana hata KIINGREZA KINAMPA SHIDA kwa kuendekeza kilugha.....So rubbish!!!