Siasa za Kukurupuka: Hatimaye Zimbabwe Yaanza Kuwafidia Mabilioni Wakulima wa Kizungu Walioporwa Mashamba Yao na Mugabe

Umaskini wetu ni fikra
 
Mnangagwa nae ameogopa kutunguliwa kama Mzee Ayatula
 
Hao Wazungu hayo mashamba waliyanunua kwa nani na kwa gharama kiasi gani?.

Wao gharama za kuua, kuumiza watu wetu na kukoloni ardhi yetu huku wakichukua raw materials bure wamemlipa Nani?.
 
Haki ya wazibabwe ni pamoja na ardhi yako imelikiwe na wao na sio wavamizi ndo maana wazibabwe walimwaga damu kuipambania
Walipomiliki hiyo ardhi waliifanyia nini zaidi ya kufilisika.Hapo zamani Zimbabwe alikuwa mzalishaji namba moja wa mahindi Afrika lakini baada ya nchi kuvamiwa na Mvamizi MUGABE nchi hiyo iliyumba kila kona kuanzia maisha ya familia moja moja hadi uchumi wa Zimbamwe.
 
Hao Wazungu hayo mashamba waliyanunua kwa nani na kwa gharama kiasi gani?.

Wao gharama za kuua, kuumiza watu wetu na kukoloni ardhi yetu huku wakichukua raw materials bure wamemlipa Nani?.
Maisha bila mzungu hayaendi,kama hutaki ushirikiano na wazungu jinyonge.
 
Walifirisika lakini ardhi ikabaki chini yao
 
Mungu wabariki Wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…