Nakubaliana na wewe mzeeShida wenye hiyo Dini Wana inferiority sana,Kila kitu wanaonewa tu,Sisi Waislamu tunafanywa hivi,mara raisi muislamu n.k Katika Historia ya Ulimwengu huu Dini ndio zimemwaga damu za watu wengi kuliko chochote kile.Dini ni upumbavu.
Huyu ni mgonjwa maana CCM kuna wakristo pia, yaani akili zake anaona Samia ndio CCM nzima.....hakuna mwanachama mwingine.Iwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.
Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.
Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini.
Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya kutugawanya na kutuigiza kwenye machafuko.View attachment 2876039
Mpumbafu na mjinga ni waliokuzalia kwenye mkesha wa mbio za mwenge
Wakati huo huo ARV kutoka kwa hao wazungu bado unazichangamkia kila uchao.
Ukiwa mvuta bangi jitahidi usiwe na maadui
Uvccm ndiyo wanaamini hivyo maana wana roho za kisheitwan
Jiwe alifuga wezi na wajinga kama wewe
Atajuaje huyo wakati ni Mhutu kaingia Tanzania mwaka 2015?
Hakuna mpumbavu na pimbi hapa jamvini kuliko wewe na mawazo ya karne ya 17
Hakuna mpumbavu kuliko wewe unaye ipenda ccm
....more to comeBinadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.
Dini ni upumbavu especially inapokua inatumiwa na Wapumbavu kama hawa wa CCMShida wenye hiyo Dini Wana inferiority sana,Kila kitu wanaonewa tu,Sisi Waislamu tunafanywa hivi,mara raisi muislamu n.k Katika Historia ya Ulimwengu huu Dini ndio zimemwaga damu za watu wengi kuliko chochote kile.Dini ni upumbavu.
Haina mahusiano hii.=======
"Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka."
=======
Chini ni maneno yako[emoji116]
....more to come
Iwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.
Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.
Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini.
Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya kutugawanya na kutuigiza kwenye machafuko.View attachment 2876039
Kwenye hili sioni kama ni sahihi kuingiza uchama.Kumbe wakati akina Tundu Lissu wanamwita Magufi dikteta Uchwara, wanampa tabu sana hadi wengine wakalimwa risasi na wengine kutiwa ndani basi kumbe Magu alikuwa mwislamu kimya kimya.
Chadema awamu zote toka wamekuwa chama kikubwa cha upinzani hawajawahi kupoa haijalishi nani yupo madarakani.
Magu alipata tabu sana kwa mashambulizi yao hadi akashindwa wavumilia
Narrow minded fella!Anaegemea dini?πππππIwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.