Siasa za Mwalimu Nyerere za Ujamaa wa kujitegemea na itikadi yake ya Azimio la Arusha ndio chanzo cha umaskini wa Tanzania

Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita

Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais wa 35 wa nchi hiyo John F. Kennedy maarufu kama JFK

Mwalimu alivutiwa sana na siasa za Marekani na aina ya uongozi wa Rais Kennedy na aliporejea nchini Tanzania akawa na mawazo ya kufuata siasa hizo za Marekani za ubepari.

Ikumbukwe kuwa Mwl. Nyerere baadaye akaja kuwa rafiki mkubwa na mpenzi wa uongozi na siasa za Kennedy na JFK naye akavutiwa na Nyerere wakawa maswahiba.

Haikuchukua muda mwaka 1963 Rais huyo wa USA akauawa kwa kudunguliwa na risasi na walenga shabaha. Mwalimu alihuzunishwa sana na kifo hicho akamlilia rafiki yake Kennedy.

Baada ya kifo cha Kennedy Mwalimu Nyerere alifanya ziara nchini China huko pia akavutiwa na siasa za nchi hiyo na uongozi wa Mao Zedong.

Mahaba ya mwalimu yakahamia kwenye siasa za "ukomonisti" akaona ndio siasa kistaarabu zenye kuleta umoja wa nchi na kuheshim utu wa mtu

Baadaye Mwalimu Nyerere akawashawishi wenziye na chama chake cha TANU na kuanzisha siasa zinazoendana na ukomonisti akaziita siasa za Tanzania ni siasa za ujamaa na kukitegemea

Hapo ikawa Mwalimu amebadilika kabisa kutoka kufikiria siasa za ubapari za rafiki yake Kennedy na kufuata siasa za Ujamaa

Mnamo mwaka 1967 Mwalimu akiongoza chama chake cha TANU wakakutana Arusha wakapitisha azimio la Arusha hapo ndipo nchi ilipoanza kuzama jahazi lake na kutopea kwenye umaskini wa kutupa mpaka sasa

Siasa za ujamaa na kujitegemea za Mwalimu Nyerere na itikadi ya Azimio la Arusha hazitaki utajiri wala watu kufanyabiashara kubwa na kupata utajiri na kujirimbikidhia utajiri

Ile sera yake ya binadamu wote ni sawa ndio walitaka hata kwenye kipato watu wote wawe sawa kusiwe na matajiri na maskini.

Hatuwezi kuendelea kwa sera hiyo ya Azimio la Arusha na siasa za kijamaa za aina hiyo za Mwalimu Nyerere

Kuthibitisha hilo miaka ya 80 mwalimu alimtuma waziri mkuu wake Edward Moringe Sokoine kuwakamata wafanyabiashara wote wakubwa na kuwaita majina mabaya "wahujumu uchumi"

Matokeo yake wafanyabiashara wakatiwa ndani wengine wakakimbia nchi na hao waliotiwa ndani walipoachiwa huru wakataifishiwa mali zao

Nchi za Magharibi na Mashirika ya fedha ya kimataifa IMF na Banki ya Dunia yakaiwekea vikwazo Tanzania na kunyimwa misaada hali ya kiuchumi ikazidi kuwa ngumu

Laiti kama Kennedy asingeuawa pengine Mwalimu Nyerere angefuata siasa za kiliberali za Magharibi ingekuwa Tanzania inamaendeleo makubwa ya kiviwanda kama jirani zao Kenya ambao tangu wapate uhuru wao siasa zao ni za kibepari

Baadaye Mwalimu Nyerere aliona siasa zake za ujamaa na kujitemea na itikadi yake ya Azimio la Arusha vimeshindwa kukwamua hali ya chumi wa Tanzania akaamuua kung'atuka na kuachia ngazi akampisha Rais Ally Hassan Mwinyi

Rais Mwinyi alipoingia madarakani haraka sana akatengua Pole pole siasa za ujamaa na kuingiza siasa za kibepari kuruhusu uwekezazi, ubinafishaji na ushiriki wa sekta binafsi kwenye kuchechemua uchumi wa nchi

Baadaye rais Mwinyi akapewa jina la mzee Ruksa akaenda mbali zaidi na kuanzisha Azimio la Zanzibar ambalo kimsingi limelifuta azimio la Arusha la Mwalimu Nyerere

Nisiwachoshe, Kesho nitaendelea kuwaletea siasa za Mwalimu zilivyogonga mwamba na kudidimiza uchumi wa nchi hii nitaendelea kuonyesha sehemu ambazo Mwalimu amefeli na sehemuambazo amefanikiwa

Comasa
Uchambuzi gani wa ovyo tu. Wala hujui kitu. Kama unafikiri azimio la arusha na ujamaa ndio uliangusha uchumi wa tanzania hebu nijibu nyerere aliwezaje kugharamia vita dhifi ya Idi Amin wa Uganda. Ni ukweli haujawahi kupingwa tanzania iligharamia hivyo vita yenyewe. Ukweli uchumi wa kijamaa uliinua uchumi wa tanzania. Takwimu miaka kabla ya vita inaonesha uchumi wa Tanzania ukikua kwa ufanisi.
Wenye kujua na wakweli wanajua sababu ya kuanguka uchumi wa tanzania ni baada ya kulazimika kupigana baada ya uganda kuvamia na kuteka sehemu ya tanzania. Nyerere hakua kama hawa kina tshisekedi jimbo la nchi kivu limekaliwa na Rwanda wanapiga kelele tu na kuomba wafadhili wa uvamizi ufaransa na marekani ndio wasaidie. Wanakula nchi kwa kisingizio kununua silaha kuimarisha jeshi ambalo haliwezi na halitaki kupigana na adui.
Ni wenye muelekeo wa kifisadi na kibepari tu ndio wanasema nyerere aliangusha uchumi kwa sera za kijamaa. Tusisahau nchi kama kenya, uganda malawi zilizokua na mfumo wa kibepari wala haziko vizuri kuliko tanzania hasa ukiangalia maisha ya watu wa kawaida.
 
Hayo mambo yamepita miaka sasa, nyerere ni zaidi ya miaka 40 ametoka madarakani bado tanzania inapambana na kumtua mama ndoo.
Umasikini wa tanzania ni vipaumbele na umimi hasa tanganyika.
Ukitaka kujua hilo tazama wazenj suala la maslahi ya zenj huwa wanakuwa wamoja ila njoo kwa wabara, wao kwanza ni chama na matumbo yao.
Hatujui namna ya kutatua changamoto zetu.
Fikiria now wanapigia kampeni ya clean energy ila eti solution ni kugawa mitungi.
Hivi wewe mkuu ukiwa huna pesa nikakupatia v8 ambayo inabugia mafuta na gharama ya kuitunza ni bei ghali si utalipaki au kuliuza baada.
Soln, ilikuwa kushusha bei ya gas ili watu waweze kuafford vinginevyo hiyo mitungi gas ikiisha watauza au kuiweka ndano tu.
Same to watu kuchanganya petrol na mafuta ya taa wakaja na soln ya kupandisha bei ya mafta ya taa ikawa kubwa kuliko petrol. 😄
 
We jamaa unachuki binafsi Na Nyerere, kwani Mo na Bakhresa sio watanzania?

We tafuta hela Acha lawama.
Nyerere Hausiki kwenye shida zako, yani we ushindwe kujitengeneza kimaisha umlaumu Nyerere.
Hakuna nchi isoyo na maskini, wajinga wala wagonjwa duniani, kila mtu anapambania maisha yake wala hakuna mtu wa kulaumiwa mkuu.

Baba ako akikizaa katika unaskini na akikulea katika umasikini na ukikua Ukiacha kutafuta maisha na kujitoa katika umaskini ukiishia kumlaumu yeye kama sababu ya umaskini wako je utakuwa na akili timamu?.
Kwahiyo ina maana hakuna haja ya kuwa na Rais wala Serikali katika nchi yoyote.

Kwahiyo hakuna maana ya kuwa na Uchaguzi, Chama wala ILANI.

Unataka tuishi kipebari ila tusizungumzie UJAMÀA uliofeli?

Kazi ya Serikali siyo kukuwekea hela mfukoni bali ni kutengeneza MIFUMO na MIUNDOMBINU ya wewe kupata hela...
Kama kwenye shule ya Sekondari yenye mwalimu mmoja akatokea genious mmoja akapiga Div. 1.7 hatuwezi sifu huo mfumo wa Elimu uendelee kwakuwa Elimu lazima ifuate taratibu zilizowekwa ili kutengeza muendelezo wa mafanikio ya wengi.

Baba yako akikupeleka shule ukafeli ila baadae maisha ukatusua hatuwezi sema Elimu haina maana na kuufanya uwe ndo mfumo wa maisha kwa sababu kila unachokifanya hata wewe hapo ulipo kinaanzia kwenye Elimu.

Kila nchi Ina maskini maana umaski ni mwingine ni wa kujitengenezea ila Umaskini unaoongolewa hapa siyo umaskini wako binafsi, hapa unasemwa UMASKINI JUMUISHI, kinachoongelewa hapa ni kwanini kipato cha hao akina MO na Bakhresa kwa mwaka kitoke kwenye MAMIA YA MABILIONI kije kiwe Milioni 2.8?

Kinachozungumziwa hapa ni kuundoa huu umaskini unarudisha nyuma kipato cha hao MATAJIRI..

Hayo maisha huwezi kuyapambania bila kuwepo MIFUMO ya kwenda kupambania.
 
Watu mnao andika mada kana hizi ..tuseme tu hamna akili hata kidogo nikikuuliza maswali lazima utashindwa kujibu hata moja ...tatizo lenu wengi mnadhani mkoloni alikuwa kaiacha tanzania kama nchi tena yenye muelekeo kumbe mgejua kuwa kutoka dar hadi kigoma au mwanza ilikuwa ni sawa na kutoka dar hadi nigeria kwa gari asilimia zaidi ya 90 ya watanzania walikuwa awajui chochote si kusoma wala kuandika ...swali je hadi Nyerere anaondoka madarakani ni nchi gani ya afrika isiyofuata siasa za ujamaa na kujitegemea iliyo kuwa tajiri hata hiyo saudi arabia na dubai kipindi hicho zilikuwa mavumbi matupu hata china ilikuwa masikini je china ilifuata siasa gani hadi kufikia maendeleo ? Mfano malawi ni nchi iliyo kuwa mtihifu kwa mabeberu je uchumi wake upoje je zaire uchumi wake upoje ...wengi mnaleta mada kwa kutumia akili zenu finyu mno ...wapo wapumbavu wanasema wakati wa nyerere tulivaa nguo za viraka nitsjie nchi za africa silizo kuwa nje ya siasa za ujamaa na kujitegemea ambazo walikuwa awavai viraka kwa kipindi kile ....kosa la Nyerere ni moja tu kuhusu ujamaa na ubepari...ukitaka kujua kosa la Nyerere lilipo lazima ujue na makosa ya marais walio mfuatia yalipo na kujua wapi tulipo kusea hadi sasa na kujua tunatakiwa kufanyeje ...ni lazima....

👉ujue kuna mifumo 4 ya ujamaa na ubepari nayo ni ....
1)SERIKALINI YA KIJAMAA NA UMMA WA KIJAMAA

2)SERIKALINI YA KIBEPARI NA UMMA WA KIBEPARI

3)SERIKALINI YA YA KIBEPARI NA UMMA WA KIJAMAA

4)SERIKALI YA KIJAMAA NA UMMA WA KIBEPARI.

Sasa hapo mfumo aliotumia Nyerere ni mfumo NO 1 hivyo nyerere alijikwamisha mwenyewe kwenye jitiada yake ya kuiletea nchi maendeleo kwa sababu ya huo mfumo NO 1.

Baada ya Nyerere kutoka madarakani akaja Mwinyi yeye akatumia mfumo NO2 ...marais walio tumia mfumo No2 ni MWINYI, KIKWETE, MKAPA, NA sasa SAMIA ...Mfumo huo No2 ni mbaya pia kwa kuwa unafanya Serikali kuwa kama mali binafsi au kampuni binafsi ya wahuni wachache dhidi ya wananchi walio wengi ..kikundi kidogo kinakuwa kinamiliki serikali kwa maslai yao na familia zao ....lakini Rais JPM alipo shika nchi alifanya jitiada ya kututoa kwenye huo mfumo na kutupeleka kwenye mfumo uliko sahihi kuliko yote nao ni mfumo NO 4 huu mfumo no 4 unafanya serikali kuwa mali ya uma kwa maslai ya uma na siyo kikundi kidogo pia unasimamia kwa haki ubebari wa sekta binafsi.....HIVYO UKIMSIKIA MTU ANA SEMA UJAMAA NDIYO BEST JUA HUYO NI MPUMBAVU NA UKIMSIKIA MTU ANASEMA UBEPARI NDIYO BEST JUA NA HUYO NI MPUMBAVU kwa maana Ujamaa na Ubepari vyote vinatakiwa kuwepo kwa pamoja ila katika mfumo ulio sahihi ambao ndiyo huo MFUMO NO 4 WA👉

💥💥💥4)SERIKALI YA YA KIJAMAA NA UMMA WA KIBEPARI 💥💥💥🐈‍⬛

Jifunzeni kwetu watu wenye akili siyo hao magreat thinker uchwara wasio weza kupambanua mambo 🤫
Moisemusajiografii nilikosea kuandika hata ujanistua imenibidi nifanye edit upya kama hapo kwenye mfumo sahihi ni No 4 ambao SERIKALINI YA KIJAMAA NA UMMA WA KIBEPARI 😁😁
 
Moisemusajiografii nilikodea kuandika hata ujanistua imenibidi nifanye edit upya kama hapo kwenye mfumo sahihi ni No 4 ambao SERIKALINI YA KIJAMAA NA UMMA WA KIBEPARI 😁😁
Hapana shaka.Mimi nilikuwa naedit mwenyewe kimoyomoyo.Sasa,changamoto ilikuwa unafoka komenti nzima.Kuna ukweli ulichoandika ila imebidi nicheke.Ngoja tuchokozane tena.Ndiyo kujifunza kwa wakuu.
 
Watu mnao andika mada kana hizi ..tuseme tu hamna akili hata kidogo nikikuuliza maswali lazima utashindwa kujibu hata moja ...tatizo lenu wengi mnadhani mkoloni alikuwa kaiacha tanzania kama nchi tena yenye muelekeo kumbe mgejua kuwa kutoka dar hadi kigoma au mwanza ilikuwa ni sawa na kutoka dar hadi nigeria kwa gari asilimia zaidi ya 90 ya watanzania walikuwa awajui chochote si kusoma wala kuandika ...swali je hadi Nyerere anaondoka madarakani ni nchi gani ya afrika isiyofuata siasa za ujamaa na kujitegemea iliyo kuwa tajiri hata hiyo saudi arabia na dubai kipindi hicho zilikuwa mavumbi matupu hata china ilikuwa masikini je china ilifuata siasa gani hadi kufikia maendeleo ? Mfano malawi ni nchi iliyo kuwa mtihifu kwa mabeberu je uchumi wake upoje je zaire uchumi wake upoje ...wengi mnaleta mada kwa kutumia akili zenu finyu mno ...wapo wapumbavu wanasema wakati wa nyerere tulivaa nguo za viraka nitsjie nchi za africa silizo kuwa nje ya siasa za ujamaa na kujitegemea ambazo walikuwa awavai viraka kwa kipindi kile ....kosa la Nyerere ni moja tu kuhusu ujamaa na ubepari...ukitaka kujua kosa la Nyerere lilipo lazima ujue na makosa ya marais walio mfuatia yalipo na kujua wapi tulipo kusea hadi sasa na kujua tunatakiwa kufanyeje ...ni lazima....

👉ujue kuna mifumo 4 ya ujamaa na ubepari nayo ni ....
1)SERIKALINI YA KIJAMAA NA UMMA WA KIJAMAA

2)SERIKALINI YA KIBEPARI NA UMMA WA KIBEPARI

3)SERIKALINI YA YA KIBEPARI NA UMMA WA KIJAMAA

4)SERIKALI YA KIJAMAA NA UMMA WA KIBEPARI.

Sasa hapo mfumo aliotumia Nyerere ni mfumo NO 1 hivyo nyerere alijikwamisha mwenyewe kwenye jitiada yake ya kuiletea nchi maendeleo kwa sababu ya huo mfumo NO 1.

Baada ya Nyerere kutoka madarakani akaja Mwinyi yeye akatumia mfumo NO2 ...marais walio tumia mfumo No2 ni MWINYI, KIKWETE, MKAPA, NA sasa SAMIA ...Mfumo huo No2 ni mbaya pia kwa kuwa unafanya Serikali kuwa kama mali binafsi au kampuni binafsi ya wahuni wachache dhidi ya wananchi walio wengi ..kikundi kidogo kinakuwa kinamiliki serikali kwa maslai yao na familia zao ....lakini Rais JPM alipo shika nchi alifanya jitiada ya kututoa kwenye huo mfumo na kutupeleka kwenye mfumo uliko sahihi kuliko yote nao ni mfumo NO 4 huu mfumo no 4 unafanya serikali kuwa mali ya uma kwa maslai ya uma na siyo kikundi kidogo pia unasimamia kwa haki ubebari wa sekta binafsi.....HIVYO UKIMSIKIA MTU ANA SEMA UJAMAA NDIYO BEST JUA HUYO NI MPUMBAVU NA UKIMSIKIA MTU ANASEMA UBEPARI NDIYO BEST JUA NA HUYO NI MPUMBAVU kwa maana Ujamaa na Ubepari vyote vinatakiwa kuwepo kwa pamoja ila katika mfumo ulio sahihi ambao ndiyo huo MFUMO NO 4 WA👉

💥💥💥4)SERIKALI YA YA KIJAMAA NA UMMA WA KIBEPARI 💥💥💥🐈‍⬛

Jifunzeni kwetu watu wenye akili siyo hao magreat thinker uchwara wasio weza kupambanua mambo
Mkuu, upo vyema sana, watu wengi wanashindwa kuchambua haya mambo kwa kuzingatia NYAKATI, hali ya nchi kwa wakati huo wa Uhuru na sasa, elimu ya watu wake kwa wakati wa uhuru na sasa, Mapato ya Serikali (Budget) na Kodi(Income-tax) na vipau mbele vyake, wakati huo na sasa. Aidha, kuhusu Mwalimu, yeye alijipambanua kuwa ni mwajiriwa wa Wananchi, alikuwa madarakani kama mwajiriwa, alikuwa hana advantage ya kupata uzoefu kutoka kwa aliye mtangulia kama hao waliomfuatia.. Nadhani, kama sio ile vita ya Uganda, haya makando kando yanayo jitokeaza ya kumlaumu YANGE KUWEPO.
 
Hayo mambo yamepita miaka sasa, nyerere ni zaidi ya miaka 40 ametoka madarakani bado tanzania inapambana na kumtua mama ndoo.
Umasikini wa tanzania ni vipaumbele na umimi hasa tanganyika.
Ukitaka kujua hilo tazama wazenj suala la maslahi ya zenj huwa wanakuwa wamoja ila njoo kwa wabara, wao kwanza ni chama na matumbo yao.
Hatujui namna ya kutatua changamoto zetu.
Fikiria now wanapigia kampeni ya clean energy ila eti solution ni kugawa mitungi.
Hivi wewe mkuu ukiwa huna pesa nikakupatia v8 ambayo inabugia mafuta na gharama ya kuitunza ni bei ghali si utalipaki au kuliuza baada.
Soln, ilikuwa kushusha bei ya gas ili watu waweze kuafford vinginevyo hiyo mitungi gas ikiisha watauza au kuiweka ndano tu.
Same to watu kuchanganya petrol na mafuta ya taa wakaja na soln ya kupandisha bei ya mafta ya taa ikawa kubwa kuliko petrol. 😄
Mkuu, ume nikumbusha hilo suala la kupandisha mafuta ya taa ambayo alikuwa anatumia mtu wa chini hadi kulingana na bei ya petrol, kwa sababu za hovyo, ambazo zina mtesa mtu wa kipato cha chani hadi leo, and no body cares!
 
Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita

Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais wa 35 wa nchi hiyo John F. Kennedy maarufu kama JFK

Mwalimu alivutiwa sana na siasa za Marekani na aina ya uongozi wa Rais Kennedy na aliporejea nchini Tanzania akawa na mawazo ya kufuata siasa hizo za Marekani za ubepari.

Ikumbukwe kuwa Mwl. Nyerere baadaye akaja kuwa rafiki mkubwa na mpenzi wa uongozi na siasa za Kennedy na JFK naye akavutiwa na Nyerere wakawa maswahiba.

Haikuchukua muda mwaka 1963 Rais huyo wa USA akauawa kwa kudunguliwa na risasi na walenga shabaha. Mwalimu alihuzunishwa sana na kifo hicho akamlilia rafiki yake Kennedy.

Baada ya kifo cha Kennedy Mwalimu Nyerere alifanya ziara nchini China huko pia akavutiwa na siasa za nchi hiyo na uongozi wa Mao Zedong.

Mahaba ya mwalimu yakahamia kwenye siasa za "ukomonisti" akaona ndio siasa kistaarabu zenye kuleta umoja wa nchi na kuheshim utu wa mtu

Baadaye Mwalimu Nyerere akawashawishi wenziye na chama chake cha TANU na kuanzisha siasa zinazoendana na ukomonisti akaziita siasa za Tanzania ni siasa za ujamaa na kukitegemea

Hapo ikawa Mwalimu amebadilika kabisa kutoka kufikiria siasa za ubapari za rafiki yake Kennedy na kufuata siasa za Ujamaa

Mnamo mwaka 1967 Mwalimu akiongoza chama chake cha TANU wakakutana Arusha wakapitisha azimio la Arusha hapo ndipo nchi ilipoanza kuzama jahazi lake na kutopea kwenye umaskini wa kutupa mpaka sasa

Siasa za ujamaa na kujitegemea za Mwalimu Nyerere na itikadi ya Azimio la Arusha hazitaki utajiri wala watu kufanyabiashara kubwa na kupata utajiri na kujirimbikidhia utajiri

Ile sera yake ya binadamu wote ni sawa ndio walitaka hata kwenye kipato watu wote wawe sawa kusiwe na matajiri na maskini.

Hatuwezi kuendelea kwa sera hiyo ya Azimio la Arusha na siasa za kijamaa za aina hiyo za Mwalimu Nyerere

Kuthibitisha hilo miaka ya 80 mwalimu alimtuma waziri mkuu wake Edward Moringe Sokoine kuwakamata wafanyabiashara wote wakubwa na kuwaita majina mabaya "wahujumu uchumi"

Matokeo yake wafanyabiashara wakatiwa ndani wengine wakakimbia nchi na hao waliotiwa ndani walipoachiwa huru wakataifishiwa mali zao

Nchi za Magharibi na Mashirika ya fedha ya kimataifa IMF na Banki ya Dunia yakaiwekea vikwazo Tanzania na kunyimwa misaada hali ya kiuchumi ikazidi kuwa ngumu

Laiti kama Kennedy asingeuawa pengine Mwalimu Nyerere angefuata siasa za kiliberali za Magharibi ingekuwa Tanzania inamaendeleo makubwa ya kiviwanda kama jirani zao Kenya ambao tangu wapate uhuru wao siasa zao ni za kibepari

Baadaye Mwalimu Nyerere aliona siasa zake za ujamaa na kujitemea na itikadi yake ya Azimio la Arusha vimeshindwa kukwamua hali ya chumi wa Tanzania akaamuua kung'atuka na kuachia ngazi akampisha Rais Ally Hassan Mwinyi

Rais Mwinyi alipoingia madarakani haraka sana akatengua Pole pole siasa za ujamaa na kuingiza siasa za kibepari kuruhusu uwekezazi, ubinafishaji na ushiriki wa sekta binafsi kwenye kuchechemua uchumi wa nchi

Baadaye rais Mwinyi akapewa jina la mzee Ruksa akaenda mbali zaidi na kuanzisha Azimio la Zanzibar ambalo kimsingi limelifuta azimio la Arusha la Mwalimu Nyerere

Nisiwachoshe, Kesho nitaendelea kuwaletea siasa za Mwalimu zilivyogonga mwamba na kudidimiza uchumi wa nchi hii nitaendelea kuonyesha sehemu ambazo Mwalimu amefeli na sehemuambazo amefanikiwa

Comasa
Nani anakudanganya kuwa Tanzania haijapiga hatua kwa miaka 60 toka tupate uhuru? Kwa taarifa yako Tanzania ni Moja kati ya Nchi 10 Afrika zenye uchumi mkubwa ikiwa ni pamoja na Egypt, Nigeria, Morocco, Algeria, Angola, Ethiopia, South Africa, Kenya, Ghana na Cote D'Ivoire.

Kama kwenu hamjishughulishi kubadili economic destiny ya eneo mtabakia mnalia lia hivyo hivyo ila Tz inasonga mbele.

Nyerere alifanya makubwa kwa nchi hii kwa kulinda raslimali asilia kama madini, misitu na ardhi hadi Watanzania wasome ili waje wasimamie wenyewe. Kumlaumu Nyerere kwa lolote ,ambaye katika miaka 63 ya uhuru wetu alitawala niaka 25 tu ni upofu wa akili
 
Yeye (Mwalimu) ndiye rais aliyekaa madarakani kwa kipindi kirefu kuliko rais yoyote nchini alishindwaje ku Imorement ujamaa wake ma hilo Azimio lake la Arusha?

Matokei yake kaikimbia nchi ikiwa hoi bin taabani kiuchumu kabakia na kijitabu chake cha Azimio la Arusha mfukoni
Wewe ndiye hukuambulia hata elimu bure ya sera za Nyerere, naona hata unaandika kwa changamoto sana. Angalia maneno uliyo andika, ni kama bata mwenye kideri anaharisha
 
Mkuu, upo vyema sana, watu wengi wanashindwa kuchambua haya mambo kwa kuzingatia NYAKATI, hali ya nchi kwa wakati huo wa Uhuru na sasa, elimu ya watu wake kwa wakati wa uhuru na sasa, Mapato ya Serikali (Budget) na Kodi(Income-tax) na vipau mbele vyake, wakati huo na sasa. Aidha, kuhusu Mwalimu, yeye alijipambanua kuwa ni mwajiriwa wa Wananchi, alikuwa madarakani kama mwajiriwa, alikuwa hana advantage ya kupata uzoefu kutoka kwa aliye mtangulia kama hao waliomfuatia.. Nadhani, kama sio ile vita ya Uganda, haya makando kando yanayo jitokeaza ya kumlaumu YANGE KUWEPO.
Siyo nyakati tu hata technology watu walikuwa wakifiwa na ndugu zao mikoani wanakuja kujua mwezi au miezi miwili au hata baada ya miaka ilikuwa hatari sana sema tunawaacha wapumbavu waseme sawa sawa na upumbavu wao
 
.kuu, watu humu wanalaumu hata hawana takwimu za haya wanayo elezea; ebu nenda kamulizie pengo la mshahara wa Serikali kati ya kima cha chini (Karani) na cha juu (Waziri) cha zamani na cha sasa; uje hapa, tuuone huo ubnafsi wa Mwalimu enzi zake.
 
Akili zao finyu
 
Wewe ndiye hukuambulia hata elimu bure ya sera za Nyerere, naona hata unaandika kwa changamoto sana. Angalia maneno uliyo andika, ni kama bata mwenye kideri anaharisha
Mkuu, hawa ndio sehemu ya wanafunzi wetu wanao wakaa watoto 100 chumba kimoja cha darasa na wanafaulu wote, lakini kuandika matatizo.
 
Yeye (Mwalimu) ndiye rais aliyekaa madarakani kwa kipindi kirefu kuliko rais yoyote nchini alishindwaje ku Imorement ujamaa wake ma hilo Azimio lake la Arusha?

Matokei yake kaikimbia nchi ikiwa hoi bin taabani kiuchumu kabakia na kijitabu chake cha Azimio la Arusha mfukoni
Hicho kitendo cha Nyerere kung'atuka madarakani baada ya kuona mambo hayaendi sawa pekee ni cha kupongezwa sana.

Maana wapo Viongozi hapa nchini na Afrika sera zao zinaangukia pua ila bado hawako tayari kung'atuka. Wanakera sana yaani.
 
Yeye (Mwalimu) ndiye rais aliyekaa madarakani kwa kipindi kirefu kuliko rais yoyote nchini alishindwaje ku Imorement ujamaa wake ma hilo Azimio lake la Arusha?

Matokei yake kaikimbia nchi ikiwa hoi bin taabani kiuchumu kabakia na kijitabu chake cha Azimio la Arusha mfukoni
Vijana wa 2000 nao bado wanalalamika. Wakati 1990 uchumi wetu na Korea ulikuwa sawa
 
Huu uzi umenikumbusha mwandishi na mwanaharakati wa mwanzo kwenye vyama vingi vya siasa ndungu prince Bagenda na zile makala zake za kwenye gazeti la Rai zikiwa na tittle Nyerere bingwa wa mkakati ulioshindwa.
Aliorodhesha mambo mengi aliyoanzisha Mwalimu lakini yalikuwa yanaonekana kukwamisha maendeleo ya nchi na wananchi.
1. Kufuta vyama vyote vya upinzani na kuicha TANU(CCM) (Chama kushika hatamu).
2. Kuanzishwa kwa vijiji vya ujamaa. Hili lilikuwa ni kosa jingine.
3. Azimio la Arusha. Alikufa akiwa bado analiamini.
4.Kutaifisha mali za taasisi kama zile za makanisa nk.
4. Sheria za uhujumu uchumi nk.
Vyote hivi alivyoanzisha vilikufa vifo vya kawaida na umebakia muungano ambao unaishi kwenye miuoyo ya wanaccm na si kwa wananchi wa pande zote mbili.
 
Uchambuzi gani wa ovyo tu. Wala hujui kitu. Kama unafikiri azimio la arusha na ujamaa ndio uliangusha uchumi wa tanzania hebu nijibu nyerere aliwezaje kugharamia vita dhifi ya Idi Amin wa Uganda. Ni ukweli haujawahi kupingwa tanzania iligharamia hivyo vita yenyewe. Ukweli uchumi wa kijamaa uliinua uchumi wa tanzania. Takwimu miaka kabla ya vita inaonesha uchumi wa Tanzania ukikua kwa ufanisi.
Wenye kujua na wakweli wanajua sababu ya kuanguka uchumi wa tanzania ni baada ya kulazimika kupigana baada ya uganda kuvamia na kuteka sehemu ya tanzania. Nyerere hakua kama hawa kina tshisekedi jimbo la nchi kivu limekaliwa na Rwanda wanapiga kelele tu na kuomba wafadhili wa uvamizi ufaransa na marekani ndio wasaidie. Wanakula nchi kwa kisingizio kununua silaha kuimarisha jeshi ambalo haliwezi na halitaki kupigana na adui.
Ni wenye muelekeo wa kifisadi na kibepari tu ndio wanasema nyerere aliangusha uchumi kwa sera za kijamaa. Tusisahau nchi kama kenya, uganda malawi zilizokua na mfumo wa kibepari wala haziko vizuri kuliko tanzania hasa ukiangalia maisha ya watu wa kawaida.
Sio nyerere tu alishindwa na ujamaa wake. Nchi zote duniani zilizzokumbatia ujamaa zilionekana na zilikuwa na uchumi dhaifu tofauti na nchi zailizokuwa za kibepati. Ulaya mashatiki yoote ilikuwa choka mbaya. Nchi kama Bulgariaa, Romania Yugoslavia, zcheckslovakia zilikuwa zinafanana uchumi na sisi sababu tulikuwa tunapambana kutoa huduma kwa jamii badala ya kutafuta pesa kukidhi mahitaji ya nchi.
 
Huu uzi umenikumbusha mwandishi na mwanaharakati wa mwanzo kwenye vyama vingi vya siasa ndungu prince Bagenda na zile makala zake za kwenye gazeti la Rai zikiwa na tittle Nyerere bingwa wa mkakati ulioshindwa.
Aliorodhesha mambo mengi aliyoanzisha Mwalimu lakini yalikuwa yanaonekana kukwamisha maendeleo ya nchi na wananchi.
1. Kufuta vyama vyote vya upinzani na kuicha TANU(CCM) (Chama kushika hatamu).
2. Kuanzishwa kwa vijiji vya ujamaa. Hili lilikuwa ni kosa jingine.
3. Azimio la Arusha. Alikufa akiwa bado analiamini.
4.Kutaifisha mali za taasisi kama zile za makanisa nk.
4. Sheria za uhujumu uchumi nk.
Vyote hivi alivyoanzisha vilikufa vifo vya kawaida na umebakia muungano ambao unaishi kwenye miuoyo ya wanaccm na si kwa wananchi wa pande zote mbili.
Kweli kabisa Prince Bagenda alikuwa akishusha nyundo za uhakika dhidi ya Mwalimu
 
Back
Top Bottom